Msanii Joseph Haule (Prof. Jay) ajiunga CHADEMA

Msanii Joseph Haule (Prof. Jay) ajiunga CHADEMA

ameona anadoda kisanii stress zimemuelekeza huko na kuibukia kwenye chama cha wahuni kama yeye
 
jay wa kaz najua anaweza sana pia ni kioo cha watanzania tunashukuru katuruhusu tujitazame kwake jay usituangushe mjomba.
 
NDIYO mzee,nyie wasanii mtasaidia sana kuwafanya wananchi wajitambue na kuchagua maendeleo,Tanzania kama Dubai inawezekana
 
bado nachalenge uwezo wa j katika kujenga hoja ila katika kukimbia kimbia wamepata mtu ila kwa maana ya weledi bule kabisa.

Kwa taarifa yako Uwezo wa kuandika mashairi ya kiwango cha juu kama cha Prof J, ni zaidi ya hoja za kawaida za Wabunge wengi wa CCM.
 
weee usinichekeshe..eti diamond mvua nguo anapendwa na watu wote...Prof..ndo all time best musiciaN ukimcompare na Diamond mchonga skendo

j hana lolote kwanza lioga tu alipigwa na chid benz hivi kalibuni hata mdomo hakunyanyua kimziki kesha habari yake.
 
Karibu professor jay..nakuhakikishia tafuta jimbo utuwakilishe.100% tunakupa kura ...nadhani jana 20/5/2013 ulishuhudia ubabe wa spika bungeni bila kanuni ilimradi maslahi yao yasiguswe.wasanii hakuna anayewajali..
tunampeleka songea mjini, mwaka 2015 jimbo lake, nchimbi asahau kabisa!
 
What is the story here? Inamaana Professor J anam replace DR Slaa na Mbowe kwa umaarufu au?!
 

Msanii wa bongo fleva mwenye mvuto na kupendwa na watu wote ni Diamond, wengine hakuna kitu kwa sasa. Na yeye ndiye anaye ongoza kwa kipato ndani ya bongo fleva. Prof. Jay hakuna kitu tena, ni oil chafu hiyo mkuu
haya mkuu, mfananishe Lisa wa TLC na Diana Ross, the legend!

 
Tunampongeza sana prof. JAY, nadhani 2015 agombee songea mjini, lazima tumpe ubunge! Tumechoka na walaghai kina nchimbi!
 
Kwa taarifa yako Uwezo wa kuandika mashairi ya kiwango cha juu kama cha Prof J, ni zaidi ya hoja za kawaida za Wabunge wengi wa CCM.
nani kakwambia kwenye vyama tunaangalia uwezo wa kutunga mashairi we vp.
 
Naahidi kuwa makini mpaka siku nafukiwa mola alaliye hai still yupo pamoja nawe waambie watz kamanda washike vizuri karibu tawi ccm linakatika wote mlivaa gamba juu na chini hakika sauti yako itasikika...............ASANTE PROF:J Karibuuu
 
bado nachalenge uwezo wa j katika kujenga hoja ila katika kukimbia kimbia wamepata mtu ila kwa maana ya weledi bule kabisa.
...CDM ni mafunzo mkuu. Mbona hata Makinda na Ndugaye wapo darasa la Tundu Lisu? ni wakorofi lakini wanaivishwa sana na Tundu Lisu au hujagundua bado. Hawatakiri leo lakini watakapozeeka watakapostaafu watakujakiri kuwa "Tulifundishwa saana kanuni na Mh Tundu Lisu"
 
Back
Top Bottom