Msanii Joseph Haule (Prof. Jay) ajiunga CHADEMA

Msanii Joseph Haule (Prof. Jay) ajiunga CHADEMA

kwa hiyo j anaamini kuwa nayeye ni miongoni mwa watu wanojua siasa kazi anafikili kuwa na mwili wa kutikisika ndiyo kujua siasa.

Siasa ni maisha,siasa sio uongo kama mnavyo amini c.c.m,na uelewe kua hip hop ni maisha pia,ndio maana ukiangalia mashahiri yote ya Prof Jay anaelezea maisha halisia kabisa yanayomsibu Mtanzania,au wewe unadhani siasa ni kubwabwaja na kubishana bila hoja kama Lusinde?amka
 
CHADEMA mnazidi kuongeza majanga; Joseph Haule hana tofauti na Joseph Mbilinyi kwa mipasho isiyokuwa na hekima
kissmyass.gif
 
Nchimbi sasa tumbo joto....Karibu nyumbani kwako SONGEA uchukue Jimbo kaka.JIMBO LAKO LINAKUSUBIRI.
 
Amini sana Jay ze Profesor tuko pamoja kamanda wangu umechakua kilicho chema, maana wajanja na wenye akiri wote wana hamia chama hiki, Bado tuna mtaka Mpoto, Lady Jay dee, AY na Reginal Mengi au sio...
Pamoja sana Jay

 
Siasa ni maisha,siasa sio uongo kama mnavyo amini c.c.m,na uelewe kua hip hop ni maisha pia,ndio maana ukiangalia mashahiri yote ya Prof Jay anaelezea maisha halisia kabisa yanayomsibu Mtanzania,au wewe unadhani siasa ni kubwabwaja na kubishana bila hoja kama Lusinde?amka

41.gif
 
Karibu sana prof. J ndani cdm,chama kinachokubalika na rika zote za wapenda maendeleo na wapinga ufisadi...
 
Tunamsubiri komandoo binti machozi, afande sele na mpoto. Yaani hapo magamba wanazidi kupagawa. Watakoma 2015.
 
Jamani tunaomba pro chadema na wapenda mabadiliko katika taifa letu wamshawishi na Roma Mkatoliki ajiunge rasmi na makamanda, itakuwa imetulia sana, hatutakuwa na haja ya kuyakodi kina diamond kama maccm yafanyavyo!

Mkuu,Roma mbona yule haina haja ya kumshawishi wala nini?kila mtu anajua yule amesimamia upande gani!Roma alizaliwa akiwa mchadema/mleta mabadiliko
 
ameona anadoda kisanii stress zimemuelekeza huko na kuibukia kwenye chama cha wahuni kama yeye

jipanguse..... mwenzako kazichanga, ameproject 2015 wewe endelea kutumika hapo C..M,
 

Msanii wa bongo fleva mwenye mvuto na kupendwa na watu wote ni Diamond, wengine hakuna kitu kwa sasa. Na yeye ndiye anaye ongoza kwa kipato ndani ya bongo fleva. Prof. Jay hakuna kitu tena, ni oil chafu hiyo mkuu

ANAPENDWA NA WATU GANI WASICHANA AU WANAWAKE AU WANAUME ? VP WEWE MWANAMKE AU MSICHANA
MISITARY YA BOb Marley unaweza fananisha na ya diamond
we bilashaka utakuwa msichana do not forget your history nor your destiny ,
 
karibu kamanda, mapambano yanaendelea, prof. jize na prof. safari pale kati
 
Gyeeeeeeah Jay la msingi hilo hautajuta. Karibu kaka, karibu sana mapambanoni
 
Bravo kubwa kamanda Braza Jay! Sasa Lady Jay Dee unasubiria nini jamani?


Bwanae umenikuna sana.JIDE mama karibu ukutane na waliopo tayari kwa mapambano.
Una silaha za kukusaidia kwenye hizi changamoto zako za sasa(krrrruuds fm)
. PEOPLES POWER itakusaidia na kukuficha usikatwe kucha.
 
Alles Sugu hakutoa single ya kwanza mwaka 1985, Sugu ni mwanzoni mwa miaka ya 90, 'wangapi walikuwepo wakati si tunaanza, Kim and Boys kwenye Yo rap bonanza'.

Mwaka 1985 kulikuwa hakuna harakati zozote za bongo fleva
 
Back
Top Bottom