haaa mkuu hebu tuambie, huyo mbunge wenu makini wa kinondoni anaitwa nani? Tafadhali jibu!nani kakwambia kwamba kinondoni tunataka wanamziki watuongoze usitukosee heshima aenge huko na utoto wake kinondoni tunataka watu makini siyo kichwa kama cha j.
nani kakwambia kwamba kinondoni tunataka wanamziki watuongoze usitukosee heshima aenge huko na utoto wake kinondoni tunataka watu makini siyo kichwa kama cha j.
mkuu tunahitaji kichwa chake na si pesa yake, we are after his brain and not otherwise!Prof J aliisha kwisha long time ago, sasa ni historia tu. Ukimuona pale rose garden mpaka bia alikuwa anaomba. Njoo rose garden upate story zake.
kura ya mgombea lazima ianze na moja mkuu, unakumbuka magamba walichakachua jimbo shinyanga town, na kumzidi mgombea wa cdm kwa kura moja?. Subiri 2015 nchimbi hana chake pale, hata maccm wenyewe wamemchoka!kula moja haiwezi kubadili matokeo.
kura ya mgombea lazima ianze na moja mkuu, unakumbuka magamba walichakachua jimbo shinyanga town, na kumzidi mgombea wa cdm kwa kura moja?. Subiri 2015 nchimbi hana chake pale, hata maccm wenyewe wamemchoka!
mkuu pamoja sana, songea mjini 2015 hatutaki nchimbi mlanguzi wa majimbo, safari hii labda akajibu mbinga magharibi!sasa wana ruvuma tumempata kamanda wetu atekayekuwa anapeperusha bendera ya M4C kwa punchlines za kufa mtu.nchimbi na komba jipangeni sawasawa.
kwan prof jay kwa sasa ana uwezo wa kutunga nyimbo tena? amefilisika kwenye fani na sasa anakimbilia siasa baada ya kusikiliza upuuzi wa akina sugu
mkuu pamoja, j lazima auchukue ubunge 2015 na si mlanguzi wa majimbo nchimbi!Dogo j usingoje upigiwe sasa umebeep songea mjini sisi tunakupigia njoo haraka uje uchukue jimbo,jimbo halina mgombea mwenyewe dogo support unayo kubwa hapa nyumbani songea usiwe na shaka njoo uchukue jimbo lako haraka.
mkuu tunahitaji kichwa chake na si pesa yake, we are after his brain and not otherwise!
Amini nakwambia prof. J ndo mbunge wa songea mjini mwaka 2015 na si vinginevyo!ubunge huo kiulaini,hivi kamekuwa kamchezo siku hizi ukichuja kimuziki unagombea ubunge,hakika jimbo atakalo gombea lazima apate kwa jinsi anavyopendwa na watu wake