Msanii Joseph Haule (Prof. Jay) ajiunga CHADEMA

Msanii Joseph Haule (Prof. Jay) ajiunga CHADEMA

Nmeona status ya Jide ktk BBM nikahisi 2. Karibu sana Prof. Hiki ndio chama kisicho na mwenyewe.. Wenye nacho n Wasio nacho! #TeamCDM2015

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Karibu kamanda Jay na angalia ucje rudi nyuma tena kama nakaaya.
 
kosa alilolifanya Nakaaya Sumali naona Joseph Haule kaliona na hajalifanya. Kuwa katika siasa sio dhambi kwa maana ni movement za maisha ya kila siku na kwa vile Prof. J amekuwa daima akiimba na kueleza maisha halisi ambayo kiukweli ni against na mfumo unaotawala, inakuwa aibu baadae unapoamua kujiunga na mfumo huo huo wakati wapenzi wako wanakuelewa na kukusapoti zaidi kwa mfumo mbadala.
Nakaaya alishaeleweka kuwa alikuwa against na ufisadi lakini akarudi hukohuko na imemcost na ameshakiri mwenyewe kuwa ni kosa lililo kubwa maishani mwake. Prof. J hana cha kupoteza sana sana ni kugain mara kumi zaidi. Big up mkuu
 
thats wonderful....mda sahihi, chama sahihi, karibu sana kamanda
 
Ndio Mzee, Ndio mzee. Great Hongera ndiyo kwanza kunaelekea kukucha lazima mwisho wa udhalimu utafikiwa tu.
 
Je, ameeleza sababu za msingi za yeye kujiunga na CHADEMA sasa?.....mtu hasiniambie ni swala la wakati, nataka hoja!
 
Safi sana , wote wanoangalia mbele zaidi ya kivuli chao kinapoishia wanafahamu pa kwenda ! Piipoooooooooooooooooooz !!!!!
 
Wasanii wengi kama sio wote hawana Mapenzi ya dhati na CCM bali ni Fedha ndo zinakuwa zinawatesa huku roho and dhamira zao zikiwasuta.
Mpaka 2014 mwishoni kila mwenye akiri timamu atakuwa amegundua na kukiri kwa mdomo wake kwamba CCM si tu itashindwa 2015 bali itakufa na kupotea ktk siasa za Tanzania.
 
kang'atuka...welcome prof jay/...wee bora mwanamziki mi mwanamziki bora, chati zetu hazifanani kama mafua na ebola..
 
harakati njema p jay... naamini hayatakua ya ndio mzee na siyo mzee.
 
Karibu professor jay..nakuhakikishia tafuta jimbo utuwakilishe.100% tunakupa kura ...nadhani jana 20/5/2013 ulishuhudia ubabe wa spika bungeni bila kanuni ilimradi maslahi yao yasiguswe.wasanii hakuna anayewajali..
 
Well! huyu ni kiungo mchezeshaji, atasaidia sana nyakati hizi tunapoelekea kipindi cha lala salama. Nashauri angekuwa attached na viongozi wa Kanda ya Nyanda za juu kusini ili kutoa elimu kwa watu wa maeneo ya huko hasa mkoa wa Ruvuma. Ingawa wananchi wa mkoa wa Ruvuma wanatamani sana mabadiliko, uhamasishaji wa mkoa wa Ruvuma bado haujaridhisha na kasi ni ndogo sana! Welcome dude!
 
Back
Top Bottom