Msanii Joseph Haule (Prof. Jay) ajiunga CHADEMA

Msanii Joseph Haule (Prof. Jay) ajiunga CHADEMA

ni siku ambayo nilikuwa naisubiria kwa hamu sana!
VIVA PROF.J! VIVA PROF. J!
 
Duuuu! Bonge la striker katika game, ni kama mesi au ronaldo katika football. Prof. hujachelewa najua umefanya tafakuri ya kina na umefanya chaguo la moyo wako na akili zako. Ombi langu kwako: Unakumbuka lile songi lako la Ndiyo Mzee? sasa tumia mistari ileile kuwaeleza watanzania ni akina nani waliokuwa wanatoa zile ahadi. Baada ya hapo tumia sio mzee kuwaonyesha watanzania tumewashitukia wazee wa longolongo. Mwisho, kwa mvuto wako na kukubalika kwako kwa vijana waombe zitto na mnyika au Tundu Lisu wafanye mkutano mmoja wa kukutambulisha na kukusanya kadi za ccm toka kwa wafuasi wako. Ni raha tupu kupata aina ya vijana Prof. Jay
 

Huyu alikuwa ameisha jiishia zamani, hana tena Dili ndani ya muziki wa bongo fleva, alikuwa hana option zaidi ya hiyo , ili kujiliwaza kwani hata ndani ya medani ya muziki wa kizazi kipya hayumo tena , wakina Diamond wameisha mmaliza na kufanya jina lake lisahaulike. Kwa heri, kwa heri baba, kila wafu huzika wafu wenzao.
acha kupanick dog mvua trouser kwenye steji unamfananisha na prof j.
 
Namkubali sana na sio mimi tuu wala wanajimbo, tunamkubali Tz kwa ujumla. Safu inaendelea kuimarika
 
Gyeeeeeeah Jay la msingi hilo hautajuta. Karibu kaka, karibu sana mapambanoni
 
prof jay hata songea hajawahi kufika. kura atampa nani?

hata kinondoni anaweza chukua siyo issue kwa Songea tu, huyo ni msani, ukitaka kuju nguvu ya msaani kamuulize Prof. Mwandosya alikuwa anamchukulia poa kamnda Sugu, walipobwagwa tu... akajiona kumbe hata uprof wake wa njaa...
 
Hamna kitu bangi tuu zinaongezeka angekuwa diamond ingeluwa mstuko
 
Afande sele
mkoloni
mpoto
lady jay de
nakaaya...

Where are you ladies and gentle men?
 
Huyu mtu ndo alimfanya mshua wangu aanze kusikiliza Bongo fleva..... Kuna siku nilikuwa nasikiliza wimbo wake wa "CHEMSHA BONGO" nikamuona mshua katuliaaaa..... Ukipoisha akaniambia "HEBU URUDIE KWANZA HUO WIMBO".Mtu mzima nikasababisha kitu cha replay fastaaaa... Mshua akawa anatikisa kichwa tuuu.
 

Huyu alikuwa ameisha jiishia zamani, hana tena Dili ndani ya muziki wa bongo fleva, alikuwa hana option zaidi ya hiyo , ili kujiliwaza kwani hata ndani ya medani ya muziki wa kizazi kipya hayumo tena , wakina Diamond wameisha mmaliza na kufanya jina lake lisahaulike. Kwa heri, kwa heri baba, kila wafu huzika wafu wenzao.
DADA WEMA KWANI BADO UNAMPENDA DIAMOND coz nimegunduwa wewe ndiye unaye mpenda hivyo ,
When one door close, but not see it,another open!!
 
Last edited by a moderator:
Tunamsubiri komandoo binti machozi, afande sele na mpoto. Yaani hapo magamba wanazidi kupagawa. Watakoma 2015.
Huyo jama ana matatizo anatoka CCm anahamia CCM -B, hana jipya Mu-CUF huyo!
 
Last edited by a moderator:
hamna kitu bangi tuu zinaongezeka angekuwa diamond ingeluwa mstuko

ungejua ulipo kwama usingeongea,kula kwako,kushiba kwako na kulala kwako isiwe nongwa kwa hohe hahe..watch out
 
Msanii maarufu wa bongo flava Joseph Haule aka Proffesor Jay, leo hii amejiunga na chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA na kukabidhiwa kadi yake ya uanachama mjini Dodoma.

View attachment 94612 View attachment 94613

Inapendeza sana mzee mwenzangu wa MTEMBANI, ningeshangaa kama ungekuwa tofauti na na wimbo wa ndio mzee lakini kwa hili nakupa big up Joseee hata Zwazwa boy atakusuport
 
Nchimbi sasa tumbo joto....Karibu nyumbani kwako SONGEA uchukue Jimbo kaka.JIMBO LAKO LINAKUSUBIRI.

kina cha maji hakipimwi kwa miguu yote miwili mwabie ajaribu kama hajaishia kura 10.
 
Kweli pro nakukubali na wengine watafuata maana nchi inahitaji vijana zaidi ktk
kuikomboa kutoka kwa mabepali weusi. Ccm
 
Back
Top Bottom