Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 28,863
- 37,614
Kumbe Clouds ni ya CCM!!!
Ss nyimbo za jay watapiga kweli?
Kumbe Clouds ni ya CCM!!!
haa mkuu, kama vicky kamata vile, kwenye chama cha magamba!ameona anadoda kisanii stress zimemuelekeza huko na kuibukia kwenye chama cha wahuni kama yeye
Ss nyimbo za jay watapiga kweli?
Tunampongeza sana prof. JAY, nadhani 2015 agombee songea mjini, lazima tumpe ubunge! Tumechoka na walaghai kina nchimbi!
msanii wa bongo fleva mwenye mvuto na kupendwa na watu wote ni diamond, wengine hakuna kitu kwa sasa. Na yeye ndiye anaye ongoza kwa kipato ndani ya bongo fleva. Prof. Jay hakuna kitu tena, ni oil chafu hiyo mkuu
kamandaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! ANKO J PIGAA MAKOFIIIIIIIII..... MASUDI MASUDI PGA MAKOFIIIIII....SIMPLE X PIGA MAKOFIIII TAFADHALIIIIIIII....HII NI FANII ILIYO MUHIMU TUCHEZE KWA KUTAMBAAAA LAKINI KAA MBALI CHEZA MBALI NA WATOTO WANAOPENDA KUJIGAMBAAAA
pumba 100%....kama kubana pua na kukata viuno ndiyo mtaji katika mapinduzi ya kisiasa na kiuchumi,okay diamond is the next president!
Jamani tunaomba pro chadema na wapenda mabadiliko katika taifa letu wamshawishi na Roma Mkatoliki ajiunge rasmi na makamanda, itakuwa imetulia sana, hatutakuwa na haja ya kuyakodi kina diamond kama maccm yafanyavyo!