Msanii Bongo achukua Masters Degree kwa miezi saba!

siku hizi elimu inakuwa so compromised ili ku-accomodate vilaza.......duuuhh
 
Hivi naJF naomba kuuliza kweli hivi kuna masters inyotolewa kwa 7 months kwa mtu aliyesoma Advance Diploma au First Degree? Kuna msanii mmoja maarufu hapa bongo kaenda kiwanja kusoma masters na sasa kamaliza within 7 months?

I doubt kwa mtaji huu ile mamlaka ya kusimamia viwango vya elimu ya juu yaani TCU wana changamoto kubwa!


Mbona hatukuelewi nawe sasa!!Kichwa cha habari kichwa chako cha habari kinasomeka kama swali .... huku ndani ni kama mtu unaye confirm!!Mara uulize kama anasoma chuo cha Wanigeria ..... Kuwa na uhakika na unacholeta hap!Hatuchanganui udaku hapa ....
Na kama unamaanisha huyo mzee wa bado nipo nipo ni MwanaFA sio kweli huyo mtu bado anasomalabda kama huyo mzee wa bado nipo nipo ni mwingine ... Angusha hoja za msingi hapa!alaa
 
heheheheheheeh
tih tih tih tih tih
ops!

ngoja nikatafute kaputura yangu ninawahi kure-seat chekechea kwani nakumbuka nilisup na sikuilipa hivyo nikipata kijicredit nawahi kusaka masters hata ya wiki moja walah.
 
unaruka maswali sababu unajua unasema uongo?
una uhakika na ulichoandika hapa kuwa mzee wa bado nipo nipo kamaliza kufanya hiyo masters?ama suala limebadilika sasa kuwa masters ni mwaka mmoja?
hata hivyo hujui kitu kuhusu elimu inaonekana.
kweli miafrika ndivyo tulivyo
Hujaeleweka mkuu inaonekana we mwenyewe masuala ya elimu upo nyuma
 
Hujaeleweka mkuu inaonekana we mwenyewe masuala ya elimu upo nyuma


umeingia kwa address nyingine mara?nasema hivii,suala ni masters kwa muda mfupi ama mwanafa kumaliza shule??..sababu mwanafa bado yupo shule na hajamaliza kama unavyotaka watu waamini ndugu..
umeelewa sasa?
 
hizo ni masters za online. Hapo hamna elimu bali cheti fake. In fact he or she is cheating himself/herself.
 
Back
Top Bottom