Kamilisha taarifaNishakula huyo demu
Yaani ndoa hizi acha tu, unaweza mfanyia mtu vitu vizuri lakini siku isio na jina anakupigia tukio mpaka unasema ni huyu kweli au nimebadilishiwa pale stirio temeke 😃😃😃Ndoa zina mambo mengi sana
Hapo sasa, siku akijibu huyo aliyepigwa tukio utasikia mpaka ulipe kisasi? Nakulaumiwa juu!Ndio utajua Argentina ni nchi au mtaa 😃
Na chumvi au limaoNishakula huyo demu