Msanii Besta yupo wapi?

Msanii Besta yupo wapi?

Kwani si aliolewa na Marlaw huyu au waliachana?
 
Mie sio mwimba mashairi mpaka nikumbuke, nakumbuka kuna wbo mmoja alikuwa akiimba , wengine hatupo huko sana , mpaka tugongane nazo wakati tunapita
Haha
Kizazi cha elfu 2010na kitu kina Godzilla! Diamond, Shetta, Roma,....... producers kina Manekeh, Pancho, Touch,....

Miziki mingi waliyotengeneza ilidumu week kama sio miezi tu.
 
Kuna picha moja ya Kaka ilisambaa kipindi fulani alikuwa yupo hoi kinyama! Pombe zilimchakaza hatari! Labda wahuni walimsaidia kazi 😃
Acha kabisa, wanawake wanatuvumilia sana, sisi wazee wa kutoa pesa,, kama mwanamke sio bahili hali ni tete,
 
Yupo wapi!? Kwamba Marlaw ndio sehemu alipo? Kiswahili kigumu sana?!!

Unauliza location ya mke wa mtu ili ugundue nini? Wewe jua kaolewa ishia hapo. Exact location mahala alipo achana nayo watu wanatembea na vilainishi siku hizi.
 
Kwani si aliolewa na Marlaw huyu au waliachana?
Tid - Marlaw alikuja Dodoma hana hata hela ya kupanga chumba .Inaonekana alipigwa na kitu kizito na kigumu mnoo utosini huko ndoani.Pia anakula sana pombe.
 
Tid - Marlaw alikuja Dodoma hana hata hela ya kupanga chumba .Inaonekana alipigwa na kitu kizito na kigumu mnoo utosini huko ndoani.Pia anakula sana pombe.
images (48).jpeg
 
  • Thanks
Reactions: EEX
Dah huu uzi umenikumbusha mbali sana. Umenikumbusha kipindi Channel 5 (EATV) ndiyo ilikuwa stesheni ya kibabe kwa burudani, kipindi hicho pia nilikuwa naamini huyu binti ni Mganda.
Kuhusu wapi alipo kwa sasa naamini watu watatupa majibu.
 
Shape ilikuwa ni namba 8 kweli
 
Back
Top Bottom