Mrs none
JF-Expert Member
- Aug 2, 2025
- 557
- 987
Na nneUmezaliwa 2000 elifimbili nini?
Na nneUmezaliwa 2000 elifimbili nini?
Halafu wote wakapoteaAliolewa na msanii mwenzie anaitwa nani vile Marlaw nakumbuka hivyo
YeahRay c kwa viuno ila mvuto besta
Na aliishia hapo sijawahi muona tena, itakuwa alikuwa anamchezea mmewe tu ndaniNdio ila haonekani tena 😃
Ndoa yake imekuwa ya misukosuko. Marlaw na Besta wanagomba sana, ila tuwaombee kheri watoboe. Wanapendezana sana...Una maana kwamba hili shape lilikuwa linatupatia wakati mgumu vijana 😃 😀 😄
View attachment 3439376
Ilikuwa ni elf 2 kumi naMuziki wa 2000 Kuja 2009 hautawahi Kuja kutokea Tanzania.
Hatukuwa na big 5[Mondi, Alikiba, Konde sijui na kina nani] kama ilivyokuja baadae....karibu wasanii 20 walikuwa wakubwa na kila mmoja na hits za kutosha.
Kwakweli sikuwahi muona itakuwa walibadilisha kazi yakufanyaHalafu wote wakapotea
Wakamalizana mazima
gari bovu huvutwa na zimaWanaume wazuri wanapata magubegube and likewise 😃
Nyege ziliwacost sanaKwakweli sikuwahi muona itakuwa walibadilisha kazi yakufanya
Tena yamekuwa hayo?Ndoa yake imekuwa ya misukosuko. Marlaw na Besta wanagomba sana, ila tuwaombee kheri watoboe. Wanapendezana sana...
Elfu mbili kumbi na muziki ulishavamiwa..... tunyimbo twa kuokota okota tu...Ilikuwa ni elf 2 kumi na
Mie sio mwimba mashairi mpaka nikumbuke, nakumbuka kuna wbo mmoja alikuwa akiimba , wengine hatupo huko sana , mpaka tugongane nazo wakati tunapitaElfu mbili kumbi na muziki ulishavamiwa..... tunyimbo twa kuokota okota tu...
Elfu mbili kumi na ....nyimbo zipi....