Msaka uteuzi chawa mwingine huyu hapa

Msaka uteuzi chawa mwingine huyu hapa

Kuna kambwa kengine nimepitapita TBC hapo nakasikia na kenyewe eti kanasifia katiba hii nzee,,
 
Eti hakuna haja ya katiba nyingine
Nchimbi aliposema “pambanieni Katiba Mpya” alimaanisha. Mazafakas wa CCM hawana mpango wowote wa Katiba Mpya. Bila umma kuamua kutumia nguvu yake ipasavyo, Katiba Mpya itabaki kuwa ndoto!
 

Attachments

  • 1000024076.jpg
    1000024076.jpg
    45.1 KB · Views: 2
  • IMG-20260829-WA0027.jpg
    IMG-20260829-WA0027.jpg
    326.2 KB · Views: 2
  • 1000059788.jpg
    1000059788.jpg
    17.9 KB · Views: 3
  • IMG-20260827-WA0003.jpg
    IMG-20260827-WA0003.jpg
    82 KB · Views: 3
  • Screenshot_2026-08-27-04-59-50-43_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
    Screenshot_2026-08-27-04-59-50-43_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
    145.9 KB · Views: 1
  • IMG-20260824-WA0073.jpg
    IMG-20260824-WA0073.jpg
    38.2 KB · Views: 2
Eti hakuna haja ya katiba nyingine
Hah hah kuwa nje ya mfumo ni tabu ukiona hivyo anataka arudi kwenye kulamba buyu la asali kupitia kwa mgogo mwenzake, anajua kuna mkeka utatembea na mgogo mwenzake atapewa nafasi ya kupendekeza watakaomsaidia kwa hiyo lazima aanza kujikomba.
 
Kwani wewe hijafaidika na katiba hii?hadi leo unao uwezo wa kupost hapa unadhani katiba hii sio njema kwako?
Kwa taarifa yako hata kwenye nchi zenye vita watu wanapost. Usichanganye kupost na katiba nzuri.
 
I
Kama katiba iko sawa, nijibu

Nani anamwajibisha mwenye madaraka?
Nani anaweza kuchunguza bila kuingiliwa?
Nani anaweza kusema “hapana” bila kuogopa madhara?
Na mwananchi ana njia gani ya kupata haki pale taasisi za dola zinapomkosea?

Hapo ndipo udhaifu wa mfumo unapojitokeza.

Kwa hiyo, kusema Katiba “ina uwezo wa kumnyoosha yeyote” bila kuangalia uhuru wa taasisi, mgawanyo wa madaraka, uwajibikaji wa viongozi na uwezo wa wananchi kutumia haki zao kikatiba ni kuangalia maandishi ya Katiba bila kuangalia mfumo unaotekeleza maandishi hayo.

Katiba nzuri si ile yenye vifungu vingi vya kuzuia matumizi mabaya ya madaraka tu; Katiba yenye nguvu ni ile ambayo hata mwenye madaraka makubwa hawezi kujiweka juu ya sheria.

Ndiyo maana mjadala wa Katiba Tanzania haupaswi kuishia kwenye Katiba yetu inasema nini? Bali uende kwenye swali muhimu zaidi,
nani ana uwezo wa kumlazimisha mwenye madaraka kuitii Katiba pale anapoivunja?.

Hapo ndipo nguvu halisi ya Katiba inapopimwa.
Unapoteza hekima yako mkuu, bora ingia porini kawahubiri nguruwe pori watakuelewa ila siyo sisi Wadanganyika.
 
Hawa ndio wale WASALITI WAWA TANGANYIKA....
JINGA KABISA KABISA KABISA
💢😡🤬👿👹😠😤💥😬👺
 
Ukweli ni nini?Hadi leo sijaona kwa jicho la mwananchi wa kawaida ubaya wa katiba hii.
Kwa hiyo waliomo humu siyo wananchi wa kawaida? Sema nini wewe piga zako hizo buku7 tu.
 
Back
Top Bottom