hakika utakufa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2016
- 1,786
- 822
We mbwiga nn kweni msajiri ndo cuf? So nali....waKwani maalim naye ana tambuliwa na msajili?.
We mbwiga nn kweni msajiri ndo cuf? So nali....waKwani maalim naye ana tambuliwa na msajili?.
Wazo zuri, lakini unadhani hao akina Mutungi watakipa usajili?Pendekezo langu: Mgogoro huu hata akitokea malaika hauwezi kuisha kwa sababu unalindwa na kulelewa kwa nguvu fulani. Ningemshauri Seif na wana CUF wenye nia ya kweli ya siasa za upinzani waje na plan B. Watanzania si wajinga, wanajua Prof anatafuta nini. Msikubali kubaki katika hali hii. Mkiweza amwachieni hata hiyo CUF yake na kuanzisha chama kingine kipya ambacho kitakuwa kikubwa kuliko CUF ya Prof baada ya mwezi mmoja tu. Hiyo ndiyo njia bora ya kuwaacha kwenye mataa wenye hila zao. Asikudanganye mtu, waliosuka mpango huu, wana malengo yao na wanapenda CUF iendelee kuwa katika hali hiyo mpaka uchaguzi ujao. Be smart Seif na wana CUF, mnaweza kumpa pigo jingine huyo msaliti wenu na watu wake....
Your Take is from one of a disgrace to a nation! Tangu lini watu wanaitwa kujadili Ugaidi? Mbona hatuoni hayo huko Ikwiriri na Kibiti na Mkuranga? Mungu anisamehe ila ningekuwa yeye viumbe kama Lipumba na Msajili ningeshawatumia Izirail aongee naoKuna Gazeti la leo linaripoti kuwa ofisi ya msajili wa vyama imewaita viongozi wa CUF ili kujadili kuhusu vurugu zilizojitojeza hapo majuzi.
Viongozi hao wametakiwa kufika kwa msajili tarehe 28/4/17.
My Take:
Asiyehudhuria wito huu wa msajili afungiwe kufanya siasa.
Umeshawahi kusikia UNSC ikijadili amani ya nchi zenye utulivu au amani ya nchi zenye vita?Your Take is from one of a disgrace to a nation! Tangu lini watu wanaitwa kujadili Ugaidi? Mbona hatuoni hayo huko Ikwiriri na Kibiti na Mkuranga? Mungu anisamehe ila ningekuwa yeye viumbe kama Lipumba na Msajili ningeshawatumia Izirail aongee nao
Kujadili eeh! Ndo onesheni mfano kwa kukaa meza Moja na wale wanaouwa askari wetu kule Mkuranga mjadili! Yaani maccm kujitoa ufahamu ndio Jadi yenu! Msajili ni Tatizo, Lipumba Tatizo, hebu niambie Nani WA kutatua Tatizo hapo? Jinai ni jinai, Polisi ifanye kazi yake ipasavyo, sio gutter politics za Mutungi, he is one of the most stupid judge ever lived!Umeshawahi kusikia UNSC ikijadili amani ya nchi zenye utulivu au amani ya nchi zenye vita?
Ninyi ndio vilazaSeif asiende,huwezi kwenda kukutanishwa na kusuluhishwa na mtu ambaye si mwanachama wa CUF,alishafukuzwa
Na kwenye hili CUF wasipoteze focus,lengo la lipumba na msajiri ni kusema na kuaminisha jamii kwamba CUF ina mgogoro,Sasa kuna msemo wa CUF lipumba na CUF Maalim,CUF waepuke kuita CUF Lipumba,lipumba si mwana CUF kwa kuwa alishafukuzwa,
Maalim akienda kwa Msajili wa Vyama atakuwa kafanya kosa kubwa la kiufundi,CUF waachane na Lipumba,wajenge Chama chao,anachotafuta Lipumba ni kuonekana kafanikiwa kwa waliomtuma,atatafuta mazingira ya kubishana na CUF,ili jioni awaulize waliomtuma kama wamesikia alichofanya,Lipumba awe isolated,anachotafuta ni kiki ili aendelee kukaa kwenye Payroll ya waliomtuma
acha na wewe kuchekesha.....watu kufanya usafi ofisi yao , inahusiana na nini?,,,,,polisi kufanya kazi saa 24/7, broNi lini ofisi hizo zilikuwa chafu?acheni bongo movie....by the way ulinzi wa polisi unafanya kazi 24/7
Kama jina lako linavyo sadiki msajili hana mamlaka ya kumfukuza mwanachama halali yoyote labda akifute chama.Kuna Gazeti la leo linaripoti kuwa ofisi ya msajili wa vyama imewaita viongozi wa CUF ili kujadili kuhusu vurugu zilizojitojeza hapo majuzi.
Viongozi hao wametakiwa kufika kwa msajili tarehe 28/4/17.
My Take:
Asiyehudhuria wito huu wa msajili afungiwe kufanya siasa.
elimu bure sasa hivi daftari lako tu hebu kaongeze maarifa kidogoyaaaaani Jingalao. ha, ha, ha, ha, haKama jina lako linavyo sadiki msajili hana mamlaka ya kumfukuza mwanachama halali yoyote labda akifute chama.![]()
elimu bure sasa hivi daftari lako tu hebu kaongeze maarifa kidogo
hapo ndio kuna ukakasi!! Halafu kuna kesi mahakamani kwanini Mh. Jaji anawaita ofisini kwake si angesubiri kesi iishe kwanzaKwani maalim naye ana tambuliwa na msajili?.
Mkuu, anafuata maelekezo kutoka juu.Yaani Jaji Mutungi anafanya vitu kama sio msomi vile sijui kwa nini lakini.? Umekula nini wewe mzee ? Yaani unafanya mambo kama lofa kabisa wakati mtu jaji mzima?