Msajili awaita Lipumba na Seif

Msajili awaita Lipumba na Seif

Kuna Gazeti la leo linaripoti kuwa ofisi ya msajili wa vyama imewaita viongozi wa CUF ili kujadili kuhusu vurugu zilizojitojeza hapo majuzi.

Viongozi hao wametakiwa kufika kwa msajili tarehe 28/4/17.

My Take:
Asiyehudhuria wito huu wa msajili afungiwe kufanya siasa.
Hivi wewe unajua matumizi halisi ya neno ....MYTAKE?.....
 
kazi ipo!!!
Mkuu hakuna kazi,kwani tatizo ni msajili,yeye ndie amekuza mgogoro.
Kama kweli Msajili angekataa Lipumba kusingekuwa na haja ya eti kuwaita Seif na Lipumba.
Tanzania tunategemea misaada ya wahisani,ninahisi Msajili amekumbushwa hilo ndio maanake eti "anawaita"
Hizo kazi haziitaji kisomo,ila busara,na hekima.
CUF sio mali ya msajili ni mali ya wana CUF.
 
Chuki zako au kuhongwa kwako hakuondoi uhalali wa Lipumba kuwa Mwenyekiti halali wa CUF.
Aliondoka kihalali na akarudi kihalali...sasa muanzisha fujo ni katibu seif kwa kuwa anakumbatia na kukumbatiwa na Chadema tena waziwazi.
Umeaandika bullshit.Lipumba ni mhalifu tu.
 
Barua yake ilijadiliwa kwenye mkutano mkuu kaba katiba inavyotaka?yaani nyie mmeshiba fedha za fisadi sasa mnahaha kutekeleza matakwa yake.Aibu sana
Kwahiyo hiyo katiba unayoitaja hapa, ambayo hata hujui kuitafsiri, inaelekeza kama barua yake haijajibiwa awatumie nyie wahuni kwenda kufanya vurugu kwenye mkutano wa maamuzi? Kwenye hiyo barua yake ya kujiuzulu alikuwa ameomba kujiuzulu au alikuwa amesema amejiuzulu na kuachana na siasa? Kwahiyo ulitaka CUF wamjibu nini? Nyie akina Bashite msitusumbue tafadhali......huyo fisadi mnayemtaja mbona hamumpeleki mahakamani na kila mwezi mnamlipa mamilioni ya fedha? Tuondoleeni upoyoyo wenu!
 
We mbwiga nn kweni msajiri ndo cuf? So nali....wa
Wewe huoni hapo Kuna tatizo?Lipumba ambaye hatambuliwi na maalim karudishwa ofisini kwa nguvu ya msajili,msajili huyohuyo ndiye anayewaita ofisini kwake unafikiri ni kitu gani kitafanyika zaidi ya msajili kumshawishi maalim akubaliane na Lipumba kuwa ndiye Mwenyekiti halali wa CUF?.
 
Kuna Gazeti la leo linaripoti kuwa ofisi ya msajili wa vyama imewaita viongozi wa CUF ili kujadili kuhusu vurugu zilizojitojeza hapo majuzi.

Viongozi hao wametakiwa kufika kwa msajili tarehe 28/4/17.

My Take:
Asiyehudhuria wito huu wa msajili afungiwe kufanya siasa.

Watasema Si uchochezi!
 
Sio rahisi kiasi hicho lipumba hafai hata kwa nusu na wala sefu c mjinga kiasi hicho mkuu
 
Barua yake ilijadiliwa kwenye mkutano mkuu kaba katiba inavyotaka?yaani nyie mmeshiba fedha za fisadi sasa mnahaha kutekeleza matakwa yake.Aibu sana
Hivi propesa wakati anaandika barua ya kujiuzulu akili zilikuwa zimemruka? Kwamba barua yake ilijadiriwa au la si hoja kwa mtu aliyeamua kujiuzulu akiwa na akili yake timamu bila kulazimishwa tena wenye elimu ya kiwango cha PhD,anahitaji kukutanishwa na ziraeli maana si bure huyu mtu
 
Kwa ufahamu wangu jaji ni mtu mwenye elimu,na uelewa wa hali ya juu.lakini tangu jaji huyu atumiwe na ccm kumtambua lipunguani,tena lililojitoa chamani lenyewe,ila tu alirejeshe ili lije kuua upinzani,nimemdharau,kuliko,jambazi,mwizi,au kibaka.
Jaji unakosaje aibu,utu,huruma,nakushiriki kukandamiza wapinzani,kwa kuwawekea kiongozi wa chama chao wasiyemtaka?
Unamaslahigani hapo ?ila jambo jema ni kwamba, una dini,na unamjua Jaji wa kweli,umilele wako utatanguliwa na hili zigo la dhambi,la kudhulumu haki ya watanzania walio wengi ili tu uufurahishe utawala.
Uzao wako utashuhudia matunda ya hiki upandacho.itoshe tu Seif apokee ushauri wa waliomwambia asihudhurie wito huo,kama msajili anamtambua lipunguani,inakuaje amtambue,na Seif,iliawakutanishe?huo ni uchonganishi mbaya sana,na wakiwango cha kijaji tu.kwakua ccm hawashindwi hata kumkolimba Seif, ndo sababu wanamvutia hatua kama hizi.Mungu hekima yako,naiwe ndani ya Seif asjihusishe na mitego ya jinsi hii,Amen.
 
Kuna Gazeti la leo linaripoti kuwa ofisi ya msajili wa vyama imewaita viongozi wa CUF ili kujadili kuhusu vurugu zilizojitojeza hapo majuzi.

Viongozi hao wametakiwa kufika kwa msajili tarehe 28/4/17.

My Take:
Asiyehudhuria wito huu wa msajili afungiwe kufanya siasa.

Utafaidika na nini kama mmoja wao atafungiwa kufanya siasa? au na wewe ndo wale mliojitoa ufanhamu...... eti uchumi wa TZ unapaa!! Bure kabisa
 
Back
Top Bottom