Msajili awaita Lipumba na Seif

Lini msajili hakumtambua maalim?
Ndo kusema Magdalena sakaya alivyopewa ukatibu wa cuf na lipumba,mtungi haku pewa taarifa na lipumba,kama alipewa alimtambua sakaya kama katibu mkuu wa cuf au hakumtambua?.na mbona hilo mtungi hakulitolea ufafanuzi?.
 
Utafaidika na nini kama mmoja wao atafungiwa kufanya siasa? au na wewe ndo wale mliojitoa ufanhamu...... eti uchumi wa TZ unapaa!! Bure kabisa
Amani na utilivu ni faida kubwa sana kwangu.
Mamluki wa kiarabu lazima wadhibitiwe ili wasiturudishe utumwani!!
 
Kuna Gazeti la leo linaripoti kuwa ofisi ya msajili wa vyama imewaita viongozi wa CUF ili kujadili kuhusu vurugu zilizojitojeza hapo majuzi.

Viongozi hao wametakiwa kufika kwa msajili tarehe 28/4/17.

My Take:
Asiyehudhuria wito huu wa msajili afungiwe kufanya siasa.
Nonsense..
 
Li prof Lipoumber siyo mwanachama wa CUF bali ni criminal. Maalim Seif ni Katibu Mkuu. Huyo mtu wenu anakwenda kuwakutanisha ili iweje? Yeye aendelee na majukumu aliyotumwa na mwajiri wake lakini huku akikumbuka baada ya kifo kuna maisha. Yako mamlaka mengine zaidi ya haya tuyaonayo hapa duniani ambako kila goti litapigwa
 
Kuna Gazeti la leo linaripoti kuwa ofisi ya msajili wa vyama imewaita viongozi wa CUF ili kujadili kuhusu vurugu zilizojitojeza hapo majuzi.

Viongozi hao wametakiwa kufika kwa msajili tarehe 28/4/17.

My Take:
Asiyehudhuria wito huu wa msajili afungiwe kufanya siasa.
Msajili ndo anatakiwa kujibu.
Yote haya kasabisha yeye.
Lipumba aliamua kwa hiari yake kujiuzuru.
Msajili kwa lengo la kuibomoa CUF/upinzani eti kamrudisha madarakani.
Ofisi ya msajili ndo mvurugaji badala ya kuwa mediator.
 
Msajili nae kama lipumba, ilitakiwa yeye amuite lipumba wazungumze maagano waliyo peana anamuita seif kama nani?!
 
Wazo zuri, lakini unadhani hao akina Mutungi watakipa usajili?

Mimi si mtaalam sana wa mambo ya usajili wa vyama, lakini nafikiri msajili hana mamlaka ya kukataa maombi ya usajili wa chama kama kinakidhi sifa kwa mujibu wa sheria. Lakn, wait a minute, Nafikiri Mkuu una point, Tanzania kitu chochote huwa kinawezekana, kwa hiyo unachokisema ni sahihi...
 
acha na wewe kuchekesha.....watu kufanya usafi ofisi yao , inahusiana na nini?,,,,,polisi kufanya kazi saa 24/7, bro
Mkuu hiki chama aka manyumbu aka magambaz kukanyagana bila police na jeshi ni wepesi kama ile karatasi nyeupe ya chooni.
 
Huyu Mutungi ana elimu kiasi gani?? Maarifa na weredi wake ukoje?? Sio huyu aliesema anamtambua Lipumba!! Sie huyu aliempa Ruzuku Lipumba!! Sir huyu alieambiwa Seif amefukuzwa kwenye nafasi ya KM?? Sasa why amuite Seif?? Why asimuite Lipumba Kama mwenyekiti wa CUF anaemtambua pamoja na Sakaya Katibu wa Lipumba??
Natamani kumfahamu mwalimu wa huyu Jaji
 
Kinachomleta maalim Buguruni kuja kusafisha ofisi ni kipi ilhali Zenji kuna ofisi ndogo za CUF?
Sahihisho: Zanzibar ndio makao Makuu ya Chaa cha CUF na sio ofisi ndogo ya CUF
Wito wa msajili kwa ajili ya mazungumzo ya suluhu ni muhimu sana.
Nakubaliana na wewe kama ingekuwa Msajili sio sehemu ya Mgogoro.Lakini yeye ndio alioupalilia mgogoro hup kwa kukikuka misingi ya Sheria, mipaka ya kazi yake na kulenga kukomoa upande mmoja. Chama si Mwenyekiti wala Katibu Mkuu. Chama ni cha WANACHAMA na wamekwisha amua kwenye vikao halali kwa kumfukuza uwanachama Lipumba.Sasa unaoendelea ni usanii tu wa chama Tawala kuhodhi na kupenda kukumbatia na kuvitetea vile vyote vya haramu.
 
Mimi si mtaalam sana wa mambo ya usajili wa vyama, lakini nafikiri msajili hana mamlaka ya kukataa maombi ya usajili wa chama kama kinakidhi sifa kwa mujibu wa sheria. Lakn, wait a minute, Nafikiri Mkuu una point, Tanzania kitu chochote huwa kinawezekana, kwa hiyo unachokisema ni sahihi...
Refer chama cha CCJ kilivyozinguliwa katika usajili baada ya kuhisi kwamba kingemega wafuasi wengi wa CCM. CUF-maalim bado wana option nzuri tu kwa maoni yangu. Itakapokaribia uchaguzi wa 2020 na ikaonekana kwamba huu mgogoro wao bado moto. Wanaweza kuicha CUF na kujiuga na Chadema kama chama kimoja. Na maalimu ataweza kubaki na wafuasi wake na ataweza kugombea uraisi Zanzibar na atakuwa tishio vilevile.
 
kwakweli Maalim SEIF na CUF wamekuwa waungwana na wamefanikiwa kukwepa mitego mingi waliyokuwa wametegewa ili kuwachafua na kuwapandikizia kesi lakini MUNGU yupo upande wao mpaka sasa,serikali ilitegemea kungetokea kujibu mashambulizi kutokea kwa upande wa SEIF na umwagaji wa damu utokee ili wapate kutimiza wanachotaka kuifanyia CUF,chokochoko zote hizi zinafadhiliwa na SERIKALI KUPITIA WAKALA WAKE mutungi,lipumba na watu wake walivamia mkutano halali wa CUF bila kuitwa akisindikizwa na askari wenye SILAHA watu wake wakavuruga mkutano na kusababisha uharibifu wa mali mpaka leo hakuna aliyefikishwa mahakamani kwa kitendo hicho,lipumba na kundi lake kwa maandamano kipindi ambacho kulikuwa na zuio la maandamano na shughuli za siasa wakavamia OFISI za CUF na kupiga walinzi na kuharibu mali hakuna hatua zilizochukuliwa dhidi yao haya yote ni makosa ya JINAI lakini hakuna hatua zilizochukuliwa na kinachoonekana SERIKALI inasubiri umwagaji wa damu utokee ili ipate sababu ya kuifuta CUF ambapo mpaka sasa hiyo sababu hawajaipata zaidi maovu na mipango yao inafichuka hadharani mchana kweupe!,lipumba anafanya mikutano hajawahi kuzuiwa wala kubugudhiwa wengine wakitaka kufanya hata mikutano ya ndani yanatoka mazuio kutoka polisi,kwa tukio la juzi fikiria msemaji wa lipumba anasema kabisa watu wamepigwa na kuumizwa waandishi wa habari pia walilengwa kabisa na uvamizi ule halafu kwanini tusiamini serikali ina mkono wake hapo?kundi hili la ujambazi eti limetumwa likafanye doria!?mamlaka hayo wameyatoa wapi?halafu mpaka saahizi wapo mtaani pamoja na uhalifu wote walioufanya?wenye akili na waliokuwa hawaamini sasa wataelewa na kujua hii ni serikali ya namna gani.
 
Natafakari sana matukio haya: Hivi mtu anawezaje kumtishia X-waziri wa habari na bastola hadharani akaachwa bila kukamatwa na kuchukiwa hatua? Hivi mtu anawezaje kuvamia mkutano halali wa kisiasa, kupiga watu makofi na kutishia bastola kisha akaachwa bila kukamatwa? Hivi mtu anawezaje kuvamia kituo cha Television hukuwa akiwa na askali wenye silaha nzito za kivita ili kutishia na kushinikiza kurushwa kwa kitu anachokitaka, kisha akaachwa kwenye nafasi yake kama kiongozi wa umma? Hivi mtu anawezaje kufoji cheti na kujiita jina bandia kisha akaachwa kuendelea kutumikia nafasi ya umma? Ni nini kimetokea katika nchi hii???
 
Huku ni kufanya watu wapumbavu na kutupotezea muda. Mutungi hawezi kusimama aksuluhisha hizo pande mbili wakati ni dhairi kuwa ana upande.
 
Kuna Gazeti la leo linaripoti kuwa ofisi ya msajili wa vyama imewaita viongozi wa CUF ili kujadili kuhusu vurugu zilizojitojeza hapo majuzi.

Viongozi hao wametakiwa kufika kwa msajili tarehe 28/4/17.

My Take:
Asiyehudhuria wito huu wa msajili afungiwe kufanya siasa.
Huyo msajili mwenyewe ni mchonganishi na anapendelea upande mmojawapo aache unafiki!
 
maalim hana haja kuhudhuria mkutano huu

mgogoro wote umeletwa na mutungi na lipumba...na zaidi kuna kesi mahakamani

tukio alilofanya lipumba ni la jinai-uvamizi...linapaswa kushughulikiwa kama jinai na sio mgogoro
Japo ni jinai, wahusika wakikubaliana kupatana nje ya mahakama, ni jambo la busara. Tuwaachie waamue.
 
Lipumba ni mwandawazimu....Ndiomaana lina mwili mkubwa akili kama nukta ..sijui hata huu uprofesa aliupataje huyu
 
Kuna Gazeti la leo linaripoti kuwa ofisi ya msajili wa vyama imewaita viongozi wa CUF ili kujadili kuhusu vurugu zilizojitojeza hapo majuzi.

Viongozi hao wametakiwa kufika kwa msajili tarehe 28/4/17.

My Take:
Asiyehudhuria wito huu wa msajili afungiwe kufanya siasa.
Gazeti lipi? Jifunze kuja na habari za kutosheleza.
 
Back
Top Bottom