Msajili awaita Lipumba na Seif

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,951
29,533
Kuna Gazeti la leo linaripoti kuwa ofisi ya msajili wa vyama imewaita viongozi wa CUF ili kujadili kuhusu vurugu zilizojitojeza hapo majuzi.

Viongozi hao wametakiwa kufika kwa msajili tarehe 28/4/17.

My Take:
Asiyehudhuria wito huu wa msajili afungiwe kufanya siasa.
 
Mbona unamawazo wa ki TFF, kifungu kipi kitumike kmfungia mtu hasifanye siasa?
 
Seif asiende,huwezi kwenda kukutanishwa na kusuluhishwa na mtu ambaye si mwanachama wa CUF,alishafukuzwa

Na kwenye hili CUF wasipoteze focus,lengo la lipumba na msajiri ni kusema na kuaminisha jamii kwamba CUF ina mgogoro,Sasa kuna msemo wa CUF lipumba na CUF Maalim,CUF waepuke kuita CUF Lipumba,lipumba si mwana CUF kwa kuwa alishafukuzwa,

Maalim akienda kwa Msajili wa Vyama atakuwa kafanya kosa kubwa la kiufundi,CUF waachane na Lipumba,wajenge Chama chao,anachotafuta Lipumba ni kuonekana kafanikiwa kwa waliomtuma,atatafuta mazingira ya kubishana na CUF,ili jioni awaulize waliomtuma kama wamesikia alichofanya,Lipumba awe isolated,anachotafuta ni kiki ili aendelee kukaa kwenye Payroll ya waliomtuma
 
Upuuzi mtupu ....msajili na Lipumba lao moja hii ni sawa na mtu atembee na mkeo halafu awaite wewe na mkeo kuwasuluhisha kwa ugomvi ambao yeye ndio chanzo.
 
Seif asiende,huwezi kwenda kukutanishwa na kusuluhishwa na mtu ambaye si mwanachama wa CUF,alishafukuzwa

Na kwenye hili CUF wasipoteze focus,lengo la lipumba na msajiri ni kusema na kuaminisha jamii kwamba CUF ina mgogoro,Sasa kuna msemo wa CUF lipumba na CUF Maalim,CUF waepuke kuita CUF Lipumba,lipumba si mwana CUF kwa kuwa alishafukuzwa,

Maalim akienda kwa Msajili wa Vyama atakuwa kafanya kosa kubwa la kiufundi,CUF waachane na Lipumba,wajenge Chama chao,anachotafuta Lipumba ni kuonekana kafanikiwa kwa waliomtuma,atatafuta mazingira ya kubishana na CUF,ili jioni awaulize waliomtuma kama wamesikia alichofanya,Lipumba awe isolated,anachotafuta ni kiki ili aendelee kukaa kwenye Payroll ya waliomtuma
Halafu pia Mtungi na ofisi yake wanakosa Mora authority ya kusimama katikati ya wanao hasimiana, ofisi ya Mtungi ilisha chaguwa upande wa lipumba. Niunge mwelewa kama Ange waita kipindi kile kabla ya kufuta majina ya akina mtatiro kwenye website yake. Kwa kifupi yeye ndo mgogoro wenyewe.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Pendekezo langu: Mgogoro huu hata akitokea malaika hauwezi kuisha kwa sababu unalindwa na kulelewa kwa nguvu fulani. Ningemshauri Seif na wana CUF wenye nia ya kweli ya siasa za upinzani waje na plan B. Watanzania si wajinga, wanajua Prof anatafuta nini. Msikubali kubaki katika hali hii. Mkiweza amwachieni hata hiyo CUF yake na kuanzisha chama kingine kipya ambacho kitakuwa kikubwa kuliko CUF ya Prof baada ya mwezi mmoja tu. Hiyo ndiyo njia bora ya kuwaacha kwenye mataa wenye hila zao. Asikudanganye mtu, waliosuka mpango huu, wana malengo yao na wanapenda CUF iendelee kuwa katika hali hiyo mpaka uchaguzi ujao. Be smart Seif na wana CUF, mnaweza kumpa pigo jingine huyo msaliti wenu na watu wake....
 
Kuna Gazeti la leo linaripoti kuwa ofisi ya msajili wa vyama imewaita viongozi wa CUF ili kujadili kuhusu vurugu zilizojitojeza hapo majuzi.

Viongozi hao wametakiwa kufika kwa msajili tarehe 28/4/17.

My Take:
Asiyehudhuria wito huu wa msajili afungiwe kufanya siasa.
Sidhani kama mzee wa kuzira atatokeza!
 
Huyo msajili mbona alishamsajili lipumba na team yake mpya, seif anamtaka wa nini?
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Kuna Gazeti la leo linaripoti kuwa ofisi ya msajili wa vyama imewaita viongozi wa CUF ili kujadili kuhusu vurugu zilizojitojeza hapo majuzi.

Viongozi hao wametakiwa kufika kwa msajili tarehe 28/4/17.

My Take:
Asiyehudhuria wito huu wa msajili afungiwe kufanya siasa.
Lipumba si mwanachama wa CUF ,
 
Back
Top Bottom