Ofisi ya Msajili inafuata sheria sio hisia mkuuHalafu pia Mtungi na ofisi yake wanakosa Mora authority ya kusimama katikati ya wanao hasimiana, ofisi ya Mtungi ilisha chaguwa upande wa lipumba. Niunge mwelewa kama Ange waita kipindi kile kabla ya kufuta majina ya akina mtatiro kwenye website yake. Kwa kifupi yeye ndo mgogoro wenyewe.
Kwani kufanya siasa kunahitaji LESENI?Kuna Gazeti la leo linaripoti kuwa ofisi ya msajili wa vyama imewaita viongozi wa CUF ili kujadili kuhusu vurugu zilizojitojeza hapo majuzi.
Viongozi hao wametakiwa kufika kwa msajili tarehe 28/4/17.
My Take:
Asiyehudhuria wito huu wa msajili afungiwe kufanya siasa.
Wew kama nani wa kutoa hyo hukumuKuna Gazeti la leo linaripoti kuwa ofisi ya msajili wa vyama imewaita viongozi wa CUF ili kujadili kuhusu vurugu zilizojitojeza hapo majuzi.
Viongozi hao wametakiwa kufika kwa msajili tarehe 28/4/17.
My Take:
Asiyehudhuria wito huu wa msajili afungiwe kufanya siasa.
CUF YA LIPUMBA wameshamvua madaraka ya ukatibu mkuu Mzee SeifLini msajili hakumtambua maalim?
Kwahiyo siku hizi msajili wa vyama vya siasa amekuwa police au mahakama? Wale waliofanya vurugu zile ni wahaini kama walivyo wahalifu wengine,hapo hakuna kusuruhishana ni kuwa peleka mahakamani tu.Kuna Gazeti la leo linaripoti kuwa ofisi ya msajili wa vyama imewaita viongozi wa CUF ili kujadili kuhusu vurugu zilizojitojeza hapo majuzi.
Viongozi hao wametakiwa kufika kwa msajili tarehe 28/4/17.
My Take:
Asiyehudhuria wito huu wa msajili afungiwe kufanya siasa.
Afungiwe kwa sababu Refa ni wenu? Hivi haya majina huwa yanaakisi akili ya mtu?Kuna Gazeti la leo linaripoti kuwa ofisi ya msajili wa vyama imewaita viongozi wa CUF ili kujadili kuhusu vurugu zilizojitojeza hapo majuzi.
Viongozi hao wametakiwa kufika kwa msajili tarehe 28/4/17.
My Take:
Asiyehudhuria wito huu wa msajili afungiwe kufanya siasa.
Jamaa kina akili mbovu kama afisa habari wa TffAfungiwe kwa sababu Refa ni wenu? Hivi haya majina huwa yanaakisi akili ya mtu?
Ofisi ya Mkaguzi mkuuOfisi ya Mkaguzi mkuu inafuata sheria sio hisia mkuu
Nasikia huyu msajili wa vyama vya siasa ni Jaji mstaafu😀😀😀Kuna Gazeti la leo linaripoti kuwa ofisi ya msajili wa vyama imewaita viongozi wa CUF ili kujadili kuhusu vurugu zilizojitojeza hapo majuzi.
Viongozi hao wametakiwa kufika kwa msajili tarehe 28/4/17.
My Take:
Asiyehudhuria wito huu wa msajili afungiwe kufanya siasa.
mzee punguza kuvuta bangi unaweza kunywa chibuku kidogo au gongo.Chuki zako au kuhongwa kwako hakuondoi uhalali wa Lipumba kuwa Mwenyekiti halali wa CUF.
Aliondoka kihalali na akarudi kihalali...sasa muanzisha fujo ni katibu seif kwa kuwa anakumbatia na kukumbatiwa na Chadema tena waziwazi.