Seif asiende,huwezi kwenda kukutanishwa na kusuluhishwa na mtu ambaye si mwanachama wa CUF,alishafukuzwa
Na kwenye hili CUF wasipoteze focus,lengo la lipumba na msajiri ni kusema na kuaminisha jamii kwamba CUF ina mgogoro,Sasa kuna msemo wa CUF lipumba na CUF Maalim,CUF waepuke kuita CUF Lipumba,lipumba si mwana CUF kwa kuwa alishafukuzwa,
Maalim akienda kwa Msajili wa Vyama atakuwa kafanya kosa kubwa la kiufundi,CUF waachane na Lipumba,wajenge Chama chao,anachotafuta Lipumba ni kuonekana kafanikiwa kwa waliomtuma,atatafuta mazingira ya kubishana na CUF,ili jioni awaulize waliomtuma kama wamesikia alichofanya,Lipumba awe isolated,anachotafuta ni kiki ili aendelee kukaa kwenye Payroll ya waliomtuma