Msaidizi wa Polepole asema Membe ameitia najisi CCM

Hivi ikitokea leo hii bwana membe akidhurika je, huyu jamaa hawezi kuwa suspect namba moja? Kutokana na kauli yake kuwa vijana wa ccm watamvunjia membe heshima na hawatamvumilia?
Nimekumbuka wale vijana wa chama cha Mgabe waliposema watadili na yeyote atakayemvunjia heshima Mugabe au kujaribu kumuondoa madarakan..lakini wajeda walipofanya yao hao hao vijana wakawa wa kwanza kuomba msamaha kutengua kauli yao ile
 
Si mmchukue huyo Membe yaani mmesahau hata kama Mwenyekiti wenu Mbowe yuko ndani ananyea ndoo? Vipi leo mlijazana pale Kisutu kama Mnyika alivyowaambia au mmekimbilia huku JF kumtetea Membe?
 
Hii ndio Chain reaction tuliyokuwa tunaisubiri.
Hahahahaa dalili sio mbaya.
Homa inapanda na pressure nayo inapanda bila kushuka apa kiharusi kina weza patikana !!
Kuna Kadawa ibabidi kaongezwe 0•5mml
#kazinabata
 
Hivi huyu jamaa kuna mtu kwamwelewa kweli au Dish langu limeyumba eti kaongea na wafanyabishara kaongea na mama lishe
Et wanafunzi wa vyuo!
Kama hawa ndio viongozi wa chama basi nchi imekwisha!!!
Sidhani kama jana alijuwa ataongea haya maneno leo yani kama mtu anaye ota au aliye lewa gongo!
 
Nimeamini ule uzi wa Paskali Mayalla kuwa tanzania tuna machizi wengi sema hatujifahamu tu ndo nimehakikisha hapa
 
Huyo msaidizi wa Polepole sauti yake yaonyesha wazi sio mtanzania Uhamiaji mtafuteni mumuhoji uraia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…