Msaidizi wa Polepole asema Membe ameitia najisi CCM

Wanaccm wenzangu huu co wakati wa malumbano , tujenge chama kwa hoja za kujenga cokutishana,, embu tuzungumzie pension ya wastaafu ambao ci wanasiasa
 
Huyu jamaa naye amepewa wadhifa aongelee chama, nikaachwa mimi, kweli wananchi wanayo haki ya kutukaa ccm..
 
Uteuzi ujao wa wakuu wa wilaya huyu hatakosekana.
We subiri mzee baba atakapo pata nafasi hata kama ni kuzindua choo cha stendi lazima kama ataona Kamera za TBC ataongelea hili na ndio hapo atakapo mwaga upupu wote na mtashangaa.
Mzee baba hana simile na wale wanaotumwa na mabeberu kuharibu kuunga mkono juhudi
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom