Hujui kuwa kuzini ni dhambi?? Kwanini usioe ndugu?Kigezo no.1 uwe na makazi yake sijali anaishi kwake au kwao muhimu asiwe tu Muwindaji
Mkuu MKE mimi hapana,unahisi kwa maelezo hayo nakosa vile vdada vya hit n run halafu nikakigeuza
mfanyakazi indirect way? yani nakinunulia smart phone ya 250k kila siku nakiambia kije kifanye kazi japo sikiiti kwa kukiambia kinakuja kufanya nini,then kinanitimizia mahtaji yangu yote?
Sihitaji wahivyo mkuu na siwezi hata kwa bahati mbaya date na mdada ataekuwa msaidizi wangu,NEVER. Nina sifa na vigezo vingi sana vya hadi mwanamke kuingia ndani kwangu Achilia mbali kupanda kitanda ninacholala.
Mimi ni moja ya wanaume wasioamini ktk mapenzi hasa kuoa au kuwa na mke,sipo kundi hilo na sihitaji i better find someone muda utapofika anizalie mtoto KWISHA habari,nitalea mwanangu . Sihitaji MKE au Mpenzi. STAKI.
i just love my self KWISHA.
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app