Msaidizi wa Kufua/ kupika na Kufanya usafi Kwangu

Mkuu fanya upange hata vyumba viwili kwanza ndo utafute msaidizi
vyumba viwili nikiwa sina vitu vya kuweka kwenye chumba chapili nahisi itakua ni kupoteza pesa mkuu,gharama ya kuongeza chumba cha pili kwanini nisiongeze kidogo ikamlipa msaidizi?

Mkuu Chumba kimoja kikiwa katika hali ya usafi wakati wote ni kizuri sana,kinapendeza na kuvutia,shida ya chumba kimoja n kukosa mtu wa kukihudumia matokeo yake kinageuka stooo.

Matumizi makubwa ya chumba kwangu n kulala TU sijawahi shnda nyumbani tangu nianze kupanga,Unaweza pata picha namna naishi mkuu.

Kilichopelekea kutafuta msaidizi ni sasa hivi nimeanza kupishana na MENDE ndani you can imagine mende anatoka wapi gheto, i hate this.
 
kama kuna tasisi ya kusaidia upatikanaji wa wadada wa kazi tusaidieni mawasiliano yake

hwa wadada/wakaka wa kuokoteza vijijini nafikiri tuachane nao
mtu anakuja leo keshokutwa anaomba kuondoka kwambaq kaitwa na babu yake
akifika huko unaambiwa ukajitambulishe na urudi naye
wadada wa vijijini sio sio sio sishauri mtu kutafuta mdada toka kijijini tena kupitia kampuni hizi za wadada au mtu yeyote.

Tafuteni wasaidizi hapa hapa mjini,huko vijijini ni kujitafutia matatizo zaidi.
 
Habari mkuu!
Kuhusu shamba i.e MLANDIZI umeshapata kijana?
Tuna vijana wengi wenye uhitaji wa shughuli/kazi za bustani, shamba, etc
karibu PM mkuu,yupo mmoja amekuja PM nmepanga kuonana nae LEO lakini akipatikana mwingine wakiwa wawili sio mbaya.

Wakiwa wawili watapga story,watapeana moyo so nadhani kama ni mbaya wakiwa wawili so kama uko na vijana sio mbaya ukaniongezea mwingine 1 kwasasa tayari nimepata 1 ila bado hatujaonana ila naamini hatoniangusha.

Karibu PM tuwasiliane zaidi.
 
Hao wa kampuni ndo balaa zaidi. Sisi tuliwahi kupigwa tukio na housegirl wa kampuni, baada ya kufuatilia ikaja kugundulika ni mpango wa hiyo kampuni huwa wanachonga madili na hao wadada kupiga matukio wakishaanza kazi sehemu.
Heri nyie mmepigwa tukio inaeleweka,siku hizi tekniki yao ni 1 hawa watu wa makampuni,Wanakutaftia mdada ambae washachonga nae mchongo,wanakwambia Inahitajika NAULI ya kumtoa alipo na mara nyingi utaambiwa mdada anatoka mbali na mkoa ulipo wewe so nauli itaanzia 45,000 ukiweka na makato utawapa kama 50k kwa ajili ya nauli.

Kisha utawalipa na wao percent zao za kukuletea huyo binti,baada ya hapo unaletewa binti anakaaa kwako siku 3 tu hamalizi hata wiki,binti anatoroka utashangaa tu hayupo,hachukui kitu chochote kwako, WEWE mwenye nyumba si utaona BORA HUJAIBIWA so utamjulisha tu aliekutaftia huyo binti kuwa mdada wake katoroka.

Basi hiyo itaisha hivyo,utahisi hujaibiwa kumbe wenzako target yao ni ile NAULI yako na ile PERCENT yako, huyo dada wa kazi anaenda pelekwa nyumba ingine mtu aliyotuma NAULI na percent ya kazi, dada anakaa siku 3 then anasepaaaa.

Watu wanapga hela kwa staili hiyo yani kwa wiki hawakosi hela nzuri tu ya kueleweka,BOSS ukiwalalamikia wanakwambia tutakutaftia mwingine halafu wanakuja kukwambia kapatikana ila yupo mbali inahtajika nauli tena,Ukituma habari ni ile ileeeee.
 
Kuna mtu anatafuta kazi ngoja nimpe tangazo lako
sio tu awe anatafuta kazi lakini pia Ajue na Upishi lengo la kutafuta msaidizi kwa upande wangu ni kuokoa GHARAMA.

Nataka kuokoa gharama upande wa CHAKULA na hitaji kuondoa GHARAMA upande wa USAFI pia,so nahitaji mtu mzuri maeneo hayo mawili.

Napoteza pesa mingi sana kwenye kununua vyakula vya hovyo na kulipa wafanya usafi wanaoharibu NGUO zangu. Itapendeza ukimueleza vyema huyo MTU,akijua wajibu wake things will go smoothly to myself and to her.
 
Kijana huku kusini kushakupa mke nini?
Wananichanganya Sana watoto wa Huku kwanza wazuri wengi hawajanyata Kama watoto wa chuga wa kwetu kule vimiguu havieleweki..Huku baba nikioa nitajinyima mengi ngoja kwanza nimalize ujana kdg
 
Wananichanganya Sana watoto wa Huku kwanza wazuri wengi hawajanyata Kama watoto wa chuga wa kwetu kule vimiguu havieleweki..Huku baba nikioa nitajinyima mengi ngoja kwanza nimalize ujana kdg
huogopi kutangulia wewe,ujana sio mzuri ukiufatsha

hivi kusini hasa n mkoa upi uliopo ili nianzie huko huko ulipo muda ukifika
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom