Msaidizi wa Kampeni wa Edward Lowassa mbaroni

Msaidizi wa Kampeni wa Edward Lowassa mbaroni

Ndio tunataka kuzika ufisadi na mafisadi nchi hii.

Baba magufuli bana hao kisawa sawa

Subiri chama kishike atam hapo ndio utakapokuja kumkataa huyo unayemsifia sasa kwani atajikuta amezungukwa na majizi na hatakuwa na jinsi zaidi ya kukubaliana nayo kwani bila kufanya hivyo chama kitakufa.
 
Kweli elimu ya tanz imezalisha watu wa ajabu, wasiokuwa na uwezo wa kuchambua hoja kwa mapana na kina.
 
Kumteka mkurugenzi wa stanbic hakutosaidia kitu.Kama issue ni Escrow, basi Kubenea ataeleza kila kitu Bungeni kuhusu Escrow kama alivyoahidi kwenye kampeni na hiki ndio kitakuwa kipimo kizuri cha Magufuli na serikali yake kwenye swala zima la ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka.

kwa hiyo ndio maana huyo kubenea mkaamua na kumzawadia mkewe ubunge wa viti maalumu!?
 
Ashakuwa Rais kwa kura halamu nini anatafuta sasa huyu jamaa?

Kiswahili ni lugha yako ya kurithi kwa mama, vilevile ni lugha uliyojifunza shuleni, kama haitoshi kiswahili ni lugha yako ya taifa. kulikoni unatuandikia hata maneno ambayo hayapo kwenye kiswahili! au ndivyo ulivyojifunza shuleni.

Halamu kwa kiswahili ni nini.
 
Jaman tuvunje makundi now tufanye kazi tumuunge mkoro jpm tunaiman anaweza Fanya Yale tunayo yataka coz ficiem wakubwa awakuunga mkono kwenye campane zake sema wananchi wakawaida ndo wamemuweka madarakan kwahyo naona hata ona haya kutowatimuwa wakishindwa kaz hii nchi ya cc sote jmn
 
Haki haiporeki ucheleweshwa tuu

Kumteka mkurugenzi wa stanbic hakutosaidia kitu.Kama issue ni Escrow, basi Kubenea ataeleza kila kitu Bungeni kuhusu Escrow kama alivyoahidi kwenye kampeni na hiki ndio kitakuwa kipimo kizuri cha Magufuli na serikali yake kwenye swala zima la ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka.

Hahahahahahhh! Nicheke mie unamtegemea Kubenea, Kubenea, Kubenea?? Mwenye taarifa kanjanja? wapi mwanzo wa Urichmond wa Lowasa na umwisho wake?

Eeeeh! Mungu tusaidie

Naamini kwamba elimu kwa vijana wa kitanzania baaaado kabisa, nakushangaeni mnashabikia mambo hasi yasiyokuwa na tija kwa taifa wala kwa familia yako.

Kijana kama wewe badala ya kufocus attention yako kwa mambo ya msingi na endelevu ili utoke hapo ulipo unashabikia mambo ya siasa kama vile ushabikiavyo simba na yanga.

Maskini weee.
 
Dah nikiwakumbuka Mussa Allan na Ocampor Four, nashindwa kuacha kumlaani Mbowe na Lowassa, maskini hawa vijana walikuwa kana wamelishwa limbwata, wehu kabisa! nadhani huko waliko sasa akili zinaanza kuwarudia
 
Ifike wakati tuviheshimu vyombo vyetu vya usalama,jambo la usalama linatuhusu watanzania wote likitokea tatizo litatukumba wote halitabagua huyu wa chama gani na huyu si mwanachama

tatizo hivyo vyombo vinatumika kwa maslahi ya wachache!
 
Natamani nikutukane tusi moja baya sana, ila basi tu. Hao vijana wana makosa kwani walikuwa na lengo la kutuletea machafuko. Hatuna mzaha na mtu yeyote anayetaka kuhatarisha amani ya nchi yetu. Na kila aliyehusika lazima akamatwe na lazima wafungwe! Bado zamu inakuja kwa mbowe na kundi lake wote, labda akimbie nchi, wewe subiri sasa. Si nyie mlinunua watu mkidhani usalama wa taifa wamelala, waliwaachia tu ili uchaguzi upite, sasa kazi kwenu. Siku nyingine mjifunze kuwa realistic, siyo mtu unapewa kazi ya kuhatarisha amani na tapeli kama mbowe wewe unakubali tu.[/QUOTE

hakili za makande!!! wale waliokuwa mlimanicity walikuwa hawana tatizo???

kwa hakili yako kama wasingekuwa wale vijana wa mlimanicity Magufuli angetangazwa?? makande kichwani sio sehemu yake
 
Dah nikiwakumbuka Mussa Allan na Ocampor Four, nashindwa kuacha kumlaani Mbowe na Lowassa, maskini hawa vijana walikuwa kana wamelishwa limbwata, wehu kabisa! nadhani huko waliko sasa akili zinaanza kuwarudia

Huyu Ocampo four itakuwa ni ID ya kingunge na Mussa Allani itakuwa ID ya sumaye. post zao za Jf walizihamihashia majukwaani
 
Kumteka mkurugenzi wa stanbic hakutosaidia kitu.Kama issue ni Escrow, basi Kubenea ataeleza kila kitu Bungeni kuhusu Escrow kama alivyoahidi kwenye kampeni na hiki ndio kitakuwa kipimo kizuri cha Magufuli na serikali yake kwenye swala zima la ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka.
Kwani kubenea ni nani kwenye hili sakata? Mnafiki huyu aliyempaka matope Lowassa halafu akaanza kumsafisha tena nani atamsikiliza?
 
Kosa gani limefanywa na vijana wa Lowassa?. Kama mtu amekosea kweli kwanin hawakufuata procedures za kumkamata bali wakamteka?
Inawezekana Ulimboka nae alikua kijana wa Lowassa ndo maana na yeye alipotea kwa style kama hiyo

Procedure za kukamata ni zipi?,na kuteka ni zipi?
 
Back
Top Bottom