Msaidizi wa Kampeni wa Edward Lowassa mbaroni

Kumteka mkurugenzi wa stanbic hakutosaidia kitu.Kama issue ni Escrow, basi Kubenea ataeleza kila kitu Bungeni kuhusu Escrow kama alivyoahidi kwenye kampeni na hiki ndio kitakuwa kipimo kizuri cha Magufuli na serikali yake kwenye swala zima la ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka.

Yule kubenea aliyeandika kuwa lowassa ni fisadi wa kutupwa kisha akabadili na kusema ni msafi kuliko malaika???
 
Kumteka mkurugenzi wa stanbic hakutosaidia kitu.Kama issue ni Escrow, basi Kubenea ataeleza kila kitu Bungeni kuhusu Escrow kama alivyoahidi kwenye kampeni na hiki ndio kitakuwa kipimo kizuri cha Magufuli na serikali yake kwenye swala zima la ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka.
Swadakta .
 
Mi nimeacha siku nyingi kujenga hoja ba ukawa maana ni zero brain
 
Umekuwa mtetezi wao hapa JF? Me nakushauri tu kesi iko mahakamani, kama unahisi waweza kuwatetea kajiandikishe uwe wakili wao!

Vinginevyo acha vyombo vya sheria vifanye kazi yake!!
 
Natamani nikutukane tusi moja baya sana, ila basi tu. Hao vijana wana makosa kwani walikuwa na lengo la kutuletea machafuko. Hatuna mzaha na mtu yeyote anayetaka kuhatarisha amani ya nchi yetu. Na kila aliyehusika lazima akamatwe na lazima wafungwe! Bado zamu inakuja kwa mbowe na kundi lake wote, labda akimbie nchi, wewe subiri sasa. Si nyie mlinunua watu mkidhani usalama wa taifa wamelala, waliwaachia tu ili uchaguzi upite, sasa kazi kwenu. Siku nyingine mjifunze kuwa realistic, siyo mtu unapewa kazi ya kuhatarisha amani na tapeli kama mbowe wewe unakubali tu.

Hamnazo kabisaa
 
unadhani unafikiri sawasawa?,nenda nchi yeyote ambayo unadhani ina demokrasia ukafanye huo ujinga wa hao vijana utaona nini maana ya demokrasia,watanzani neno demokrasia sio kufanya uhalifu wa kisayansi kama ule

Wale vijana hawajahack kitu chochote jamani,una hack vipi matokeo ambayo wasimamizi wa uchaguzi walikuwa wanaleta physically Dar?
This is ridiculous, wale walikuwa wanakusanya tu matokeo kutoka kwa mawakala wa ukawa na hilo ukiniambia ni kosa basi nchi hii ina shida mahali!

Ok!Tuseme ilikuwa lazima watu wa usalama wapige biti ili Magu apite,mmesha mpitisha.
Achieni basi washkaji warudi kitaa? Au mpaka iwe center point ya social movement?
 
Hakuna kutetea waharifu hao vijana waminywe vizuri kabisa huko jela kila kitu kijulikane na hatua stahiki zichukuliwe kwa wote waliohusika hakuna kucheka na ngedere
 
magufuli hajateua hata waziri mmoja na bado unaita ana serikali?? nchi bhana ina watu wa ajabu sana
 
Hakuna kutetea waharifu hao vijana waminywe vizuri kabisa huko jela kila kitu kijulikane na hatua stahiki zichukuliwe kwa wote waliohusika hakuna kucheka na ngedere

Kwenye maisha haya ni kipimo kwa kipimo,mtapimiwa kipimo kilekile mnachopimia wenzenu.
 
Mkuu naona sasa wewe ndio unapotosha umma,eti Bashir Awale katekwa ukiisaidia polisi utasema unaonewa?
 
Intimidations~ I dnt know if you guys realize the path we are taking now, Oh God!help Tanzania.
 
Natamani nikutukane tusi moja baya sana, ila basi tu. Hao vijana wana makosa kwani walikuwa na lengo la kutuletea machafuko. Hatuna mzaha na mtu yeyote anayetaka kuhatarisha amani ya nchi yetu. Na kila aliyehusika lazima akamatwe na lazima wafungwe! Bado zamu inakuja kwa mbowe na kundi lake wote, labda akimbie nchi, wewe subiri sasa. Si nyie mlinunua watu mkidhani usalama wa taifa wamelala, waliwaachia tu ili uchaguzi upite, sasa kazi kwenu. Siku nyingine mjifunze kuwa realistic, siyo mtu unapewa kazi ya kuhatarisha amani na tapeli kama mbowe wewe unakubali tu.

Tusi moja baya sana sijui likoje hilo. Kwa kweli nyuma ya keyboard huna mzaha kabisa lakini si kwingineko!!!!!!!!!!
 
Natamani nikutukane tusi moja baya sana, ila basi tu. Hao vijana wana makosa kwani walikuwa na lengo la kutuletea machafuko. Hatuna mzaha na mtu yeyote anayetaka kuhatarisha amani ya nchi yetu. Na kila aliyehusika lazima akamatwe na lazima wafungwe! Bado zamu inakuja kwa mbowe na kundi lake wote, labda akimbie nchi, wewe subiri sasa. Si nyie mlinunua watu mkidhani usalama wa taifa wamelala, waliwaachia tu ili uchaguzi upite, sasa kazi kwenu. Siku nyingine mjifunze kuwa realistic, siyo mtu unapewa kazi ya kuhatarisha amani na tapeli kama mbowe wewe unakubali tu.

TUKANA TU, SI NDIO FASHENI YENU KUTUKANA. Naona unateseka na moyo wako bure Ishu yenu ya Uchakachuzi ishakamatwa Aibu sana Chama kinachohubiri Aman kinatenda maovu ya NEC na ZEC Aibu yao. Nadhani njia ya Demokrasia imewashinda mtaondoka kwa namna nyingine Time will tell...
 
Inaonekana wewe huna kazi yakufanya, na vilevile hujui wale vijana unaowaita wa tallying centre walikuwa wanafanya nini, na kama unajua walichokuwa wanakifanya, ni vyema ukaisaidie polisi ili issue hii iishe mara moja, kuliko kuja hapa Jf kulalama wakati huna fact zozote.

Mambo ya siasa yalishakwisha tangu pale JPM alipoapishwa na kuwa rais wa JTM na kazi iliyoanzwa kufanywa nina imani unaiona. Watu wote wameshikana kuijenga upya TZ yao bila kujali itikadi zao za vyama. Ukawa ni kitu gani mbele ya TANZANIA, na Ukawa una muda gani.

Kama bado wewe bado unahangaika na ukawa wakati Mbowe na Mbatia waliobaki kati ya waliounda ukawa wako kimya, sijui tukuelweje. WATZ TUNAMAGUFULIKA KWA BIDII YOTE, WEWE BADO UNALOWA! POLE SANA
 
Back
Top Bottom