Natamani nikutukane tusi moja baya sana, ila basi tu. Hao vijana wana makosa kwani walikuwa na lengo la kutuletea machafuko. Hatuna mzaha na mtu yeyote anayetaka kuhatarisha amani ya nchi yetu. Na kila aliyehusika lazima akamatwe na lazima wafungwe! Bado zamu inakuja kwa mbowe na kundi lake wote, labda akimbie nchi, wewe subiri sasa. Si nyie mlinunua watu mkidhani usalama wa taifa wamelala, waliwaachia tu ili uchaguzi upite, sasa kazi kwenu. Siku nyingine mjifunze kuwa realistic, siyo mtu unapewa kazi ya kuhatarisha amani na tapeli kama mbowe wewe unakubali tu.
Kwa hyo we mleta mada ulivyo kiazi hujaona kosa lililofanywa na hao vijana+lowasa?
Kumteka mkurugenzi wa stanbic hakutosaidia kitu.Kama issue ni Escrow, basi Kubenea ataeleza kila kitu Bungeni kuhusu Escrow kama alivyoahidi kwenye kampeni na hiki ndio kitakuwa kipimo kizuri cha Magufuli na serikali yake kwenye swala zima la ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka.
Mungu atuepushie mbali na hilo jinamizi nilolipenda kabla. Hawatakaa washike dola.
Bora act.
Kumteka mkurugenzi wa stanbic hakutosaidia kitu.Kama issue ni Escrow, basi Kubenea ataeleza kila kitu Bungeni kuhusu Escrow kama alivyoahidi kwenye kampeni na hiki ndio kitakuwa kipimo kizuri cha Magufuli na serikali yake kwenye swala zima la ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka.
Ukawa mna akili za ovyo ivi mkichukua nchi mutaiongozaje?
Kumteka mkurugenzi wa stanbic hakutosaidia kitu.Kama issue ni Escrow, basi Kubenea ataeleza kila kitu Bungeni kuhusu Escrow kama alivyoahidi kwenye kampeni na hiki ndio kitakuwa kipimo kizuri cha Magufuli na serikali yake kwenye swala zima la ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka.
Kosa gani limefanywa na vijana wa Lowassa?. Kama mtu amekosea kweli kwanin hawakufuata procedures za kumkamata bali wakamteka?
Inawezekana Ulimboka nae alikua kijana wa Lowassa ndo maana na yeye alipotea kwa style kama hiyo
Ngoja tuirudishe serikali kwenye mstari! Tumechoka na uhuni!
Hapa ni Kazi Tu!
Mkuu hii sio kazi,hii inaitwa purging~ Ni kitu cha kawaida kwenye nchi zinazoongozwa kidicteta.Hapa tunashabikia vyama vyetu lakini siamini kama unataka Tanzania iwe nchi ya kidicteta.Fikiria tena
Wewe kuku tu unaijua hata kesho yako tu?Mungu atuepushie mbali na hilo jinamizi nilolipenda kabla. Hawatakaa washike dola.
Bora act.
Mkitaka kumgusa Lowasa mniue kwanza.