Msaidizi wa Kampeni wa Edward Lowassa mbaroni

Msaidizi wa Kampeni wa Edward Lowassa mbaroni

Serikali ya Magufuli imeendelea kuwashughulikia wafuasi wa UKAWA na Lowassa kwa kutumia nguvu nyingi za Dola tangu walipokamata vijana wa tallying centres wa Chadema na kuwasingzia kuwa walikuwa wanafanya human trafficking, na sasa wanasema vijana wale waliingilia mitandao ya Tume ya Uchaguzi ili kuanza kupata matokeo, pamoja na kesi inayoendelea ya vijana hao mahakamani.

Sasa wameanza kukamata watu wote waliokuwa wakiwasiliana na vijana hao, na leo usiku huu alitekwa mkurugenzi wa zamani wa Stanbic; Bashir Awale; katika mazingira ya kutatanisha, lakini kwa tuhuma hizo hizo.

Hii njia ya kupunguza ari na joto la wananchi mamailioni ambao hawajaridhika na Uchaguzi wa mwaka huu. Inasikitisha sana kuona demokrasia inaporwa na vyombo vyetu vya Dola vikitumika vibaya.

Another DOT ......................?

Hellen Makanza wa Stanbic katika sakata la Tegeta ...
20 posts
1 Dec 2014

Huyu ni Head of Legal Services wa Stanbic Bank na ndiye aliesain Statement of account ya PAP
Anawajua beneficiaries woooote wa akaunti hiyo

Hivi hawa Stanbic sakata la Mikopo kwa wafanyabiashara wa Kariakoo na staff wao liimeishia wapi?

Sakata la Bashir Awale na mkopo wa mamilioni y dola anbayo BOT hawakujua kimeishia wapi?
paperclip.png
Attached Thumbnails
 
Huyu siwale namjua ni mwizi tapeli kama unakumbuka pale stanbic bank aliiba ndiyo akafukuzwa kazi,

Lakini pia huyo siwale kwanza siyo mtanzania bali ni mkenya hata kukaa kwake nchini siyo halali mda wake ulishaisha lakini anakaa kiujanja tu,

Mbali na hilo siwale amekuwa akitumiwa na makundi ya kihalifu hasa yanayofanya mashambulizi kenya kwa malengo wanayojua wao.

Hata paspoti yake siyo sahihi kwani alipewa kinyume na utaratibu na masha wakati huo akiwa waziri wa mambo ya ndani ya nchi,

kifupi hafai wala usitetee uozo hata kidogo.

Mkuu yote uliyajua lkn bado ulikaa kimya....!!
 
Huwez kuvunja sheria za nchi kisa we ni mtanzania! kila nchi ina taratibu na sheria, huwez kuingilia utaratibu wa tume, kazi ya tume inafanywa na tume yenyewe,
 
Jamani mnaoleta mada humu jaribuni kuleta Taarifa zilizokamilika.....Naona taarifa nusunusu...watu wanakurupukia Vijana na CDM hebu tusaidieni...kuunganisha dot ...then tuendelee badala yakumwaga povu
 
Tena wakurugenzi majizi hao? Funga kabisa tunawajua walivyokuwa wanaratibu mipango ya mafisadi kwenye uchaguzi,
 
Majizi mnatafuta pakujificha mwaka huu mafisadi wote mtakaa tu magufuli hacheki na mafisadi.
 
Natamani nikutukane tusi moja baya sana, ila basi tu.

Hao vijana wana makosa kwani walikuwa na lengo la kutuletea machafuko. Hatuna mzaha na mtu yeyote anayetaka kuhatarisha amani ya nchi yetu. Na kila aliyehusika lazima akamatwe na lazima wafungwe!

Bado zamu inakuja kwa mbowe na kundi lake wote, labda akimbie nchi, wewe subiri sasa. Si nyie mlinunua watu mkidhani usalama wa taifa wamelala, waliwaachia tu ili uchaguzi upite, sasa kazi kwenu.

Siku nyingine mjifunze kuwa realistic, siyo mtu unapewa kazi ya kuhatarisha amani na tapeli kama mbowe wewe unakubali tu.
Yaani hii post yako imenifanya niamini kuwa wewe ni mngese wa muda wote. Tumia akili kufikiri na sio Masaburi.
 
Natamani nikutukane tusi moja baya sana, ila basi tu.

Hao vijana wana makosa kwani walikuwa na lengo la kutuletea machafuko. Hatuna mzaha na mtu yeyote anayetaka kuhatarisha amani ya nchi yetu. Na kila aliyehusika lazima akamatwe na lazima wafungwe!

Bado zamu inakuja kwa mbowe na kundi lake wote, labda akimbie nchi, wewe subiri sasa. Si nyie mlinunua watu mkidhani usalama wa taifa wamelala, waliwaachia tu ili uchaguzi upite, sasa kazi kwenu.

Siku nyingine mjifunze kuwa realistic, siyo mtu unapewa kazi ya kuhatarisha amani na tapeli kama mbowe wewe unakubali tu.
Ni uda muafaka Takukuru kukishukia kama mwewe chama kilichohongwa fedha na mafisadi
 
Natamani nikutukane tusi moja baya sana, ila basi tu.

Hao vijana wana makosa kwani walikuwa na lengo la kutuletea machafuko. Hatuna mzaha na mtu yeyote anayetaka kuhatarisha amani ya nchi yetu. Na kila aliyehusika lazima akamatwe na lazima wafungwe!

Bado zamu inakuja kwa mbowe na kundi lake wote, labda akimbie nchi, wewe subiri sasa. Si nyie mlinunua watu mkidhani usalama wa taifa wamelala, waliwaachia tu ili uchaguzi upite, sasa kazi kwenu.

Siku nyingine mjifunze kuwa realistic, siyo mtu unapewa kazi ya kuhatarisha amani na tapeli kama mbowe wewe unakubali tu.
Anayehatarisha amani ni yupi kati ya hawa, anayechukua kura za mmoja na kumpa mwingine au anayejumlisha kura zake ili mwisho wa siku afahamu hesabu yake. Mbona Zenji Maalim kawatoa jasho. Ilibidi mufanye hivyo ili yasijirudie ya zenji.
 
Serikali ya Magufuli imeendelea kuwashughulikia wafuasi wa UKAWA na Lowassa kwa kutumia nguvu nyingi za Dola tangu walipokamata vijana wa tallying centres wa CHADEMA na kuwasingizia kuwa walikuwa wanafanya human trafficking, na sasa wanasema vijana wale waliingilia mitandao ya Tume ya Uchaguzi ili kuanza kupata matokeo, pamoja na kesi inayoendelea ya vijana hao mahakamani.

Sasa wameanza kukamata watu wote waliokuwa wakiwasiliana na vijana hao, na leo usiku huu alitekwa mkurugenzi wa zamani wa Stanbic, Bashir Awale katika mazingira ya kutatanisha, lakini kwa tuhuma hizo hizo.

Hii njia ya kupunguza ari na joto la wananchi mamailioni ambao hawajaridhika na Uchaguzi wa mwaka huu. Inasikitisha sana kuona demokrasia inaporwa na vyombo vyetu vya Dola vikitumika vibaya.

Hebu peleka hiyo mihemuko yako mbali usituletee shombo.waache wana usalama wafanye kazi yao.hakuna aliyeonewa wala kupendelewa mahakama ndiyo utachambua hayo kwa mujibu wa sheria
 
Magufuli kuwa makini sana USISIKILIZE UPAMBE wa watu watakuharibia nchi uanze kulaumu.
 
kama maghufuli anataka watanzania wote wasahau yaliyopita ili wamuunge mkono katika juhudi zake alizoanza kuzionyesha ni vizuri akawasamehe wale wote waliokamatwa kipindi cha uchaguzi na kuachiwa huru. kinyume chake ni kuendeleza makovu ya uchaguzi. rais wangu maghufuli tusonge mbele tusahau yaliyopita...
 
Back
Top Bottom