Msaidizi wa Kampeni wa Edward Lowassa mbaroni

Msaidizi wa Kampeni wa Edward Lowassa mbaroni

Dua la kuku hilo kama ni wahalifu wacha sheria ifuate mkondo wake

It is just not possible until when it is possible and when it is possible I will be generous enough to remand you,just hung around,will you?
 
Serikali ya Magufuli imeendelea kuwashughulikia wafuasi wa UKAWA na Lowassa kwa kutumia nguvu nyingi za Dola tangu walipokamata vijana wa tallying centres wa Chadema na kuwasingzia kuwa walikuwa wanafanya human trafficking, na sasa wanasema vijana wale waliingilia mitandao ya Tume ya Uchaguzi ili kuanza kupata matokeo, pamoja na kesi inayoendelea ya vijana hao mahakamani.

Sasa wameanza kukamata watu wote waliokuwa wakiwasiliana na vijana hao, na leo usiku huu alitekwa mkurugenzi wa zamani wa Stanbic; Bashir Awale; katika mazingira ya kutatanisha, lakini kwa tuhuma hizo hizo.

Hii njia ya kupunguza ari na joto la wananchi mamailioni ambao hawajaridhika na Uchaguzi wa mwaka huu. Inasikitisha sana kuona demokrasia inaporwa na vyombo vyetu vya Dola vikitumika vibaya.


Hajakamatwa kwa ishu hiyo bwana.Huu ni mzimu wa Escrow umefufuka!
 
Jitaidi kuwa makini sana unapoweka Uzi, ili wakikuitaji use na majibu ya uhakika, sio zama za kikwete, watu eanalinyoosha taifa kuwa makini,
 
Ngoja tuirudishe serikali kwenye mstari! Tumechoka na uhuni!

Hapa ni Kazi Tu!

Yah, wanaotaka ujinga ujinga waende Uganda ama Burundi na Rwanda ili wakaishi wanavyotaka huko na waone kama watachukua hata sekunde 2 tu.
 
Huyu Bashir Awale huwa sielewi kwanini katumia handle twitter ya @ Bashpirate
 
ukomavu wa mtu hupmwa wakat wa matatzo jifunze kutokukurupuka kuandka rud shule halafu ndo uje ujiunge kwa magreater thinker
 
tuliza jazba, unafahamu kutekwa wewe? kwa hio unafahamu kuwa alikosea ila hukubaliani na utaratibu uliyotumika kumkamata huyo mharifu!
Kosa gani limefanywa na vijana wa Lowassa?. Kama mtu amekosea kweli kwanin hawakufuata procedures za kumkamata bali wakamteka?
Inawezekana Ulimboka nae alikua kijana wa Lowassa ndo maana na yeye alipotea kwa style kama hiyo
 
CEO wa StanBic Bashir amitiwa Mbaloni Dar
gari+bongo.jpg
 
Huyu Bashir Awale huwa sielewi kwanini katumia handle twitter ya @ Bashpirate

je wajua kwamba stanbic ina connection na wasomali?
Nilisoma zamani kwenye social media za kenya wakijaribu kuiconnect na pesa chafu za alshabab,ambazo zikipatikana kutokana na mapirate
 
Kaunganishwa na wale vijana waliokamtwa kwa kuhack mtandao wa tume.
 
Fafanua mkuu mbona unaandika kama umekimbizwa vile eleza kakamatwa kwa tuhuma zipi.
 
Back
Top Bottom