minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 23,421
- 22,433
naskia jamaa anapenda visasi sana tutaona mengi sasa malaya n mashangingi wa dar wote walikua ccm......ikulu 2015 walikuepo cjui watapewa ulaji wapi mana ni wengi sana kuanzia bongo movie hadi bongo fleva
Hao wengi wataajiriwa kwa January makamba kwani ndiye alikuwa akiwaleta ccm ili apate kupiga pesa za kampeni kupitia slop yao, sasa yupo busy kwa masangoma akiwinda Uwaziri kwenye Wizara zenye Ulaji mwingi kama wizara ya Nishati na madini, wizara ya uchukuzi, wizara ya viwanda na biashara huku wizara ya Fedha mwigulu kamuomba amwachie ili awe Waziri kamili.