Msaidizi wa Kampeni wa Edward Lowassa mbaroni

Msaidizi wa Kampeni wa Edward Lowassa mbaroni

Wakuu nimekua najiuliza maswali mengi sana bila majibu.Hivi kwa mini huyu Waziri mkuu aliyejiuzulu kwa kashfa ya ufisadi nuwa Richmond amezungukwa na watu wenye rekodi mbaya na watu wenye utata sana.
Wengi wa marafiki zake wana rekodi mbaya za uhalifu mfano bashir awale raia wa Kenya ambaye alijipenyeza hadi kua mwanakamati wa lowassa. Pia kuna lile kundi la vijana 191 walokamatwa kwa makosa ya kimtandao ukiachilia mbali wengine wengi wanaojulikana kwa umafia wao. Najiuliza mwaswali mengi endapa watanzani wasingemkata tareh 25 octoba ikulu yetu takatifu ingekuaje na group la watu hawa wabaya waliomzunguka Edward....
MUNGU ANAIPENDA TANZANIA
Afadhali wtz walivyomkata?????
 
Huwezi kamata mtu halafu ndio ufanye uchunguzi. Polisi wanatakiwa kukamata mtu kwa amri ya mahakama Na sio ya kova. Only in Tanzania where civil rights are not followed!
Hujui sheria kaa kimya
 
Ndivyo wanavyowadanganya na kuwaaminisha watanzania kuwa ulikuwepo mpango wa ku-hack system ya nec. Hizi ni propoganda za ki-Soviet union enzi za Cold War. Sikujua kuwa bado zinaweza kuwa effective enzi hizi za utandawazi! poor bongoland:-(

Kwa hiyo tallying ifanywe na watu 191 tena ktk Hotel tofauti? Poor you
 
Ndege wa rangi moja WANAPENDEZA kuwaona wakiwa na rangi nyeupe........
 
ninachojiuliza ni kuwa huyu mtu amekuwa hapa nchini kama mtumshi wa benki na amekuwa akisafiri Je? amekuwa akitumia hati ya nchi gani? kama ni Tanzania alikuwa mtu Maaufu kama CEO wa benki kubwa kwanini hakuweza kugundulika? Je kugundua muda huu uweledi wa Uhamiaji katika kukamata wanaofoji hati za kusafiria za Tanzania utapimwaje? na kwanini mtu wa Uhamiaji hajalitolea maelezo? ah maswali mengi???????
 
hata nafasi ya kupeperusha bendera ya ukawa aliipata kiutata
 
Huwezi kamata mtu halafu ndio ufanye uchunguzi. Polisi wanatakiwa kukamata mtu kwa amri ya mahakama Na sio ya kova. Only in Tanzania where civil rights are not followed!

Halafu utakuta una Degree ya Sheria. Hivi mkikabidhiwa Laptop ya kuanza kazi za Ki bavicha huwa akili mnakabidhi kwa nani? Kwa hiyo wakikuta Unafanya uhalifu wapeleke shauri Mahakamani kuomba kibali cha kukamata?
 
Sisi tuligundua hilo mapema sana..sio hao tu hata kina kingunge ambae alikuwa mkusanya ushuru stendi ya ubungo kabla hajanyang' anywa baada ya ripoti ya CAG kuonyesha anaiibia serikali..kumbuka nchi hii imefika hapa ilipo sababu ya wafanyabiashara, marafiki na wanamitandao ya urais..so kwa sasa tupo salama..
 
ninachojiuliza ni kuwa huyu mtu amekuwa hapa nchini kama mtumshi wa benki na amekuwa akisafiri Je? amekuwa akitumia hati ya nchi gani? kama ni Tanzania ilikuwa mtu Maaufu kama CEO wa benki kubwa hakuweza kugundulika? Je kuundua muda huu uweledi wa Uhamiaji utapimwaje? na kwanini mtu wa Uhamiaji hajaliongelea? ah maswali mengi???????


Ukiwa CCM unakuwa juu ya sheria.

Ukiwa nje ya CCM hakuna kosa utakalokosa.
 
Sisi tuligundua hilo mapema sana..sio hao tu hata kina kingunge ambae alikuwa mkusanya ushuru stendi ya ubungo kabla hajanyang' anywa baada ya ripoti ya CAG kuonyesha anaiibia serikali..kumbuka nchi hii imefika hapa ilipo sababu ya wafanyabiashara, marafiki na wanamitandao ya urais..so kwa sasa tupo salama..


Usiongee kama mlevi.

Haujawa salama na hautakaa kuwa salama.

The lesser you know the better.
 
tena bora kakamatwa sio raia anakuja paspoti ya kenya cheti cha kuzaliwa dodoma
asante sana kova
 
Natamani nikutukane tusi moja baya sana, ila basi tu.

Hao vijana wana makosa kwani walikuwa na lengo la kutuletea machafuko. Hatuna mzaha na mtu yeyote anayetaka kuhatarisha amani ya nchi yetu. Na kila aliyehusika lazima akamatwe na lazima wafungwe!

Bado zamu inakuja kwa mbowe na kundi lake wote, labda akimbie nchi, wewe subiri sasa. Si nyie mlinunua watu mkidhani usalama wa taifa wamelala, waliwaachia tu ili uchaguzi upite, sasa kazi kwenu.

Siku nyingine mjifunze kuwa realistic, siyo mtu unapewa kazi ya kuhatarisha amani na tapeli kama mbowe wewe unakubali tu.

Namm pia nataman nikutukanee ila basi tu maana hujui unalolisemaa wale wa mliman city na regency walikuwa wanafanya mn
 
Gesi yetu ilikuwa chupu chupu iende na maji

Gesi yenu ipi? Ushuzi au? Ni heri Mungu akunyime makalio ya kukaa kwani utawekewa Kata kuliko akunyime akili. Gesi yenu,hahahahahaaaaa! Pooor Tz, ujinga ndio mtaji wa ccm!
 
Back
Top Bottom