DE FULE
JF-Expert Member
- Jan 10, 2013
- 1,213
- 714
Mna jela za kutosha kufunga zaidi ya asilimia sitini ya watanzania?
Mjitokeze tuwaone, kwann mnasemea mitandaoni??
Mna jela za kutosha kufunga zaidi ya asilimia sitini ya watanzania?
Natamani nikutukane tusi moja baya sana, ila basi tu.
Hao vijana wana makosa kwani walikuwa na lengo la kutuletea machafuko. Hatuna mzaha na mtu yeyote anayetaka kuhatarisha amani ya nchi yetu. Na kila aliyehusika lazima akamatwe na lazima wafungwe!
Bado zamu inakuja kwa mbowe na kundi lake wote, labda akimbie nchi, wewe subiri sasa. Si nyie mlinunua watu mkidhani usalama wa taifa wamelala, waliwaachia tu ili uchaguzi upite, sasa kazi kwenu.
Siku nyingine mjifunze kuwa realistic, siyo mtu unapewa kazi ya kuhatarisha amani na tapeli kama mbowe wewe unakubali tu.

Usalama ni kutawaliwa na CCM?Ifike wakati tuviheshimu vyombo vyetu vya usalama,jambo la usalama linatuhusu watanzania wote likitokea tatizo litatukumba wote halitabagua huyu wa chama gani na huyu si mwanachama
Mda wote ulikuwa wapi hukusema unayosema. Hii haina tofauti na tuliyoshuhudia kuwa ukiwa ccm mtakatifu ,ila ole wako utoke. Ukiwa kapi tu, ufisadi wako waanza anikwa.Jamani watz. twaelekea wapi?Huyu siwale namjua ni mwizi tapeli kama unakumbuka pale stanbic bank aliiba ndiyo akafukuzwa kazi,
Lakini pia huyo siwale kwanza siyo mtanzania bali ni mkenya hata kukaa kwake nchini siyo halali mda wake ulishaisha lakini anakaa kiujanja tu,
Mbali na hilo siwale amekuwa akitumiwa na makundi ya kihalifu hasa yanayofanya mashambulizi kenya kwa malengo wanayojua wao.
Hata paspoti yake siyo sahihi kwani alipewa kinyume na utaratibu na masha wakati huo akiwa waziri wa mambo ya ndani ya nchi,
kifupi hafai wala usitetee uozo hata kidogo.
Umeomba mfano wa watu wa CCM hebu soma link hiiIli huo weledi unaozungumzia ueleweke zaidi hebu weka mifano ya kipindi chote cha kampeni toka wale vijana 24 na masha hadi sasa ni ccm yupi aliyekamatwa? Rungu la weledi litaangalia kwa wapinzani tu?
Umewahi kuchinja hata mbuzi?
Cjawai
Mbona tuhuma zao ni kutangaza matokeo ya uchaguzi kinyume cha sheria? Tuhuma nyingine ni kuingilia mfumo wa mawasiliano wa NEC? Kwa nini gazeti linatoa tuhuma za uongo za kujumlisha matokeo ambalo sio kosa? kwani watu wa Nipashe hawakusikia au kuona waliposomewa mashtaka mara ya kwanza???
Mimi nipo ndugu yangu, ukitaka kuniona ni wewe tu!
Kama unaweza kung'ata,sema tuonane!
Huyu anasababisha machafuko ila Jecha anasababisha amani.
Acha kushabikia vurugu, kuna kuchinjana kwingi sana, huziwezi. Ahsante!
Acha vyombo vya usalama vifanye kazi...
Mtaanza ku politicize kila kitu in the name of upinzani
Hii inafurahisha saana kwenye thread moja ninaitwa UKAWA, sasa hivi CCM. Tujifunze kuandika ukweli bila kujali ushabiki wa vyama. nchi yetu imeoza kama ni CCM, CHADEMA, CUF au yoyote anayesababisha kina mama walale chini, wanafunzi wakose vitabu, rasilimali kuibiwa, utendaji mbovu; wote hawa wasiwe marafiki zetu. Polisi ikamate lakini mahakama zitaamua.Haya unayoongea,serikali ingeyasimamia na Polisi ikasitisha kamata kamata halafu wanachama wenu wakaeleweshwa kwamba uchaguzi umeisha ningewaelewa. Unakuta mtu mmoja kama wewe anatoa elimu ya uelewa ila system nzima inafanya kazi tofauti.