Kansigo
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 2,670
- 2,156
Kuna jambo halija kaa Sawa hapa na ndilo linalo hojiwa kwamba vyombo vya dola vinafanya kazi kwa kuvizia?Hizi conspiracy na theory zisizohataeleweka hazina msaada kwa Taifa. Hakuna mtu atakayeonewa. Sikufaham lakini ninakuomba andika vitu vyenye ukweli na vyenye kuleta mshikamani. Hii dhana ya purging waachie Warundi wameizoea. nchi yetu ni tofauti. Na kama huelewi nini maana ya umwagaji damu na huwa unaanza na kauli hizi, watembelee wakimbizi na uwasikilize. Tutapotea sisi na vizazi vijavyo. Siasa ni muhim lakini UTANZANIA KWANZA.
Kosa gani limefanywa na vijana wa Lowassa?. Kama mtu amekosea kweli kwanin hawakufuata procedures za kumkamata bali wakamteka?
Inawezekana Ulimboka nae alikua kijana wa Lowassa ndo maana na yeye alipotea kwa style kama hiyo
Wewe inaelekea una chuki na mengi hivi huwa hausomi gazeti la Uhuru? Mara ngapi limepotosha umma na hakuna wa kuwauliza, kumbuka hata ccm walikuwa na vijana wao wa kufanya kazi kama hiyo Tambua kuwa Kazi yeyote ya kisayansi lazima kuwepo na wataalam mbali mbali .Huyu Mengi na magazeti yake kama NIPASHE wamekuwa wa hovyo hovyo sana.
Gazeti linaandika kwa minajili ya kuonesha kama hao waliokamatwa ( vijana waliokuwa wakijumlisha matokeo) wameonewa wakati jeshi la polisi walishatoa taarifa kuhusu udukuzi na uingiliaji wa mchakato wa kuhesabu kura na usambazaji uliokuwa ukifanywa na hao vijana, mbaya zaid hili gazeti la nipashe hawajiulizi kama ishu ilikuwa kujumlisha matokeo tu kwanini cdm walim-hire mkorea, muAngola na mkenya
Pambaff gazeti la NIPASHE
Kabla ya uchaguzi ulisema utakuja kukaa mita 200 kutoka nec tena unatokea mkoani. Vp ulikaa? Ulipata nn? Vp ile kesi yenu ICJ?
Wata mmaliza kisiasa. Lowassa, kidogokidogo. Bado Richmond
Balozi wa CCM ahhhhh China hapa Tanzania.
![]()
![]()
Kumteka mkurugenzi wa stanbic hakutosaidia kitu.Kama issue ni Escrow, basi Kubenea ataeleza kila kitu Bungeni kuhusu Escrow kama alivyoahidi kwenye kampeni na hiki ndio kitakuwa kipimo kizuri cha Magufuli na serikali yake kwenye swala zima la ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka.
inabidi aulizwe kama kaachiwa kwa dhamana ya aina gani? dhamana ya bure au ya pesa, pia muulizeni baada ya kulitelekeza gari lake ni nani aliliokota na kumpelekea kwake je? Kuna upotevu wa mali zake ndani ya gari?Kuna jambo halija kaa Sawa hapa na ndilo linalo hojiwa kwamba vyombo vya dola vinafanya kazi kwa kuvizia?
Huyu bwana amezunguka na ROWASA akiwa CCM vyombo vya dola vilifumbia Macho kwanini 1. polisi walijua ROWASA yamkini ndo mpeperusha bendera ya ccm
2 . ccm wako juu ya sheria hili pia halina ubishi.
Huyu bwana kazunguka na ROWASA miezi miwili ya kampeni akiwa Ukawa polisi hawa kumkamata kwanini? Hawakua na uhakika nani anashinda urais, kumkamata Huyu bwana at that time ingekuwa kutake risk
Uchaguzi umeisha CCM wameshinda polisi wamerudi kwenye u taratibu wao wa kunyanyasa upinzani. Huyu bwana kakamatwa maana hakuna risk yoyote kwa polisi kufanya hivyo
Hii inafurahisha saana kwenye thread moja ninaitwa UKAWA, sasa hivi CCM. Tujifunze kuandika ukweli bila kujali ushabiki wa vyama. nchi yetu imeoza kama ni CCM, CHADEMA, CUF au yoyote anayesababisha kina mama walale chini, wanafunzi wakose vitabu, rasilimali kuibiwa, utendaji mbovu; wote hawa wasiwe marafiki zetu. Polisi ikamate lakini mahakama zitaamua.
Kama ni mapungufu basi hata waliomkamata watakuwa na mapungufu iweje watelekeze gari lake njiani?Polisi Wanajua Amekamatiwa Nini?
Ni Bora Kusubiri Taarifa Rasmi Kuliko Kuweka Hisia za Kisiasa Kwa Kila Jambo!
Kuwa Mshauri wa Lowassa Haifanyi Kuwa Hawezi Kutenda Kosa Lingine Ni Binadamu Huyu Mwenye Mapungufu Kama WENGINE Tu.
tuacha uchabiki wa kijinga niulze swali Je! Mafisadi wanachkliwa hatua za ksheria au inabak wat kjiuzr na ksmamshwa kaz bla hatua yyte ya ksheria kchkliwa? Mnyonge hatabak kuwa mnyonge na mwny nacho atak kuwa nacho
Umeandika nini hapo? Sorry hapa siyo fesibuku....
Sina imani polisi hata #RIPeddyMachaAcha vyombo vya usalama vifanye kazi...
Mtaanza ku politicize kila kitu in the name of upinzani
Labda sijaeleweka, hatuhitaji nchi ya watu walio juu ya sheria. Kama polisi wanamakosa nao pia watashtakiwa na hakuna shaka katika hilo.Je? Mahakama zikiwaachia kisha wakawashitaki polis utaenda kuwatetea?
Mheshimuni sana Lowassa, tena mumwite baba!
Ukimya wake umeliponya taifa.