Msafara wa Rais ulipata ajali leo asubuhi Kimara

kwa hiyo Rais ataenda kumtembelea kesho muhimbili au ataenda kutoa pole kwa wanafamilia nyumbani kwao??

itategemea na mazingira na hali. Sisi tumwombee kwa Mungu majeruhi apone haraka ili aendelee kuitunza jamii yake. Magamba inawezekana walikuwa na mpango wa kutoa kafara kabla ya kuapisha baraza, Mwenyenzi Mungu akaepusha.
 
hajatumia ofisi kwa shughuli binafsi hapo! kwani kuna msiba wa kitaifa maeneo ya kimara?
angeanguka rais na ku RIP hiyo safari yake binafsi si ingetutia hasara ya kuingia kwenye uchaguzi.
kama vipi mbona hahudhurii kipaimara cha mtoto wa matonya jirani yetu, au yeye si mtz

Mkuu jogi Rais alikuwa akienda kwenye msiba wa aliyekuwa mfanyakazi mwenzake ikulu (alikuwa dereva). Naona hiyo haikuwa safari binafsi.
 
Last edited by a moderator:
Kwa mujibu wa Habari ya saa 2 ITV,Msafara wa Kikwete ulikuwa waelekea Kimara Kilungule kwenye Ibada ya kuuaga mwili wa aliyekuwa Dereva wa Ikulu Kaliyefariki Usiku wa kuamkia Jumamosi Tar.04.05 kwa ajali mbaya ya gari Binafsi iliyotokea maeneo ya Kimara Korogwe( another Black Spot between Ubungo-Kibaha) ila ITV walionyesha tukio la kuaga tu. Kuna jamaa alipost mchana huu (06.05.12) kuhusu tukio hili ZAHAMA YA KEBEHI ALIYOPATA. HAKURUDI TENA!

Mkuu bahati nzuri nilishuhudia ajali zote mbili yaani ile ya kwanza iliyosababisha kifo cha dereva wa ikulu ambaye Rais alikuwa akienda kuhudhuria msiba wake na hii ya dereva wa pikipiki. What a coincidence; usishangae nilikuwa nikinywa kahawa maeneo ya huko.

Marehemu alikuwa akiishi maeneo ya Kimara Kilungule Uwanjani.

Ajali ya kwanza ilitokea ijumaa maeneo Kimara Kona/Baruti baada ya fuso iliyokuwa imebeba maji ya uhai kugonga gari ndogo iliyokuwa na huyo dereva na hivyo kusababisha kifo chake. Watu wanaotumia barabara ya Ubungo - Kibaha watakumbuka foleni kubwa sana siku ya Ijumaa mida ya saa moja kuelekea saa nne hivi.

Hii ya msafara wa Rais na yenyewe ilitokea maeneo ya Kona kwenye tuta. Jamaa alikuwa akienda kazi na mvua ilikuwa imenyesha bahati mbaya nadhani hakuliona tuta akalivaa akateleza na kuanguka.
 
Escort za waheshimiwa zinakua speed sana,halafu madereva nao wamezidi mbwembwe! barabara zetu na speed waendayo haviendani!
 
Mkuu bahati nzuri nilishuhudia ajali zote mbili yaani ile ya kwanza iliyosababisha kifo cha dereva wa ikulu ambaye Rais alikuwa akienda kuhudhuria msiba wake na hii ya dereva wa pikipiki. What a coincidence; usishangae nilikuwa nikinywa kahawa maeneo ya huko.

Marehemu alikuwa akiishi maeneo ya Kimara Kilungule Uwanjani.

Ajali ya kwanza ilitokea ijumaa maeneo Kimara Kona/Baruti baada ya fuso iliyokuwa imebeba maji ya uhai kugonga gari ndogo iliyokuwa na huyo dereva na hivyo kusababisha kifo chake. Watu wanaotumia barabara ya Ubungo - Kibaha watakumbuka foleni kubwa sana siku ya Ijumaa mida ya saa moja kuelekea saa nne hivi.

Hii ya msafara wa Rais na yenyewe ilitokea maeneo ya Kona kwenye tuta. Jamaa alikuwa akienda kazi na mvua ilikuwa imenyesha bahati mbaya nadhani hakuliona tuta akalivaa akateleza na kuanguka.

unafaa kufanya kazi ikulu tena wakupe kitengo cha kuzuia ajali,kwa unavyoziotea duh!!
 
Kwa mujibu wa Habari ya saa 2 ITV,Msafara wa Kikwete ulikuwa waelekea Kimara Kilungule kwenye Ibada ya kuuaga mwili wa aliyekuwa Dereva wa Ikulu Kaliyefariki Usiku wa kuamkia Jumamosi Tar.04.05 kwa ajali mbaya ya gari Binafsi iliyotokea maeneo ya Kimara Korogwe( another Black Spot between Ubungo-Kibaha) ila ITV walionyesha tukio la kuaga tu. Kuna jamaa alipost mchana huu (06.05.12) kuhusu tukio hili ZAHAMA YA KEBEHI ALIYOPATA. HAKURUDI TENA!

Mmmmmmmm,kafara zinahitajika sana kipindi hiki,si unajua mambo yote yamekwama.
 
Watu wameshajadili sana hapa kuhusu mwendo kasi wa misafara ya magari ya viongozi wetu. Hata kwa akili ya darasa la kwanza mwendo kasi hauwezi kuwa njia mojawapo ya kulinda usalama wa kiongozi. Kinachotakiwa ni kuwa na gari bullet/bomb proof na sio kukimbiza gari.

Obama na madhira yote anatumia beast inayotembea kama kinyonga. Hapa tunakimbiza gari eti kwa usalama? Na ukuangalia wakati mwingine utadhani ni mashindano ya Formula 1, wanakwenda zigzag utafikiri ni computer game kumbe wanamwendesha kiongozi wa nchi.

Hii yote inasababishwa na kuongozwa na kiongozi ambaye huwa muda mwingi anapote kwenye screen kuangalia na kukariri picha za holywood kisha kujaribu kuyafanya anayoyaona bila kujua ya kuwa wale wanaact picha. Akiona msafara unaoongozwa kwa zigzag anaamuru naye aendeshwe hivyo hivyo. Akiona wanakimbiza sana bila kufikiria matiki anaamuru hivyo hivyo. Kwanza kwa Tanzania hii nani wa kumuua Kikwete?
 
unafaa kufanya kazi ikulu tena wakupe kitengo cha kuzuia ajali,kwa unavyoziotea duh!!
Baba V mimi huwa nakunywa kahawa maeneo yale kwenye kijiwe cha waendesha piki piki pale Baruti.
 
Last edited by a moderator:
hata kama alikuwa anaenda msibani ni muhimu kujua kuna majukumu muhimu zaidi kila wakati anawaza starehe nchi ataendelea kwa kuhani? awe na upeo wakufikiria mengine zaidi
 
hajatumia ofisi kwa shughuli binafsi hapo! kwani kuna msiba wa kitaifa maeneo ya kimara?
angeanguka rais na ku RIP hiyo safari yake binafsi si ingetutia hasara ya kuingia kwenye uchaguzi.
kama vipi mbona hahudhurii kipaimara cha mtoto wa matonya jirani yetu, au yeye si mtz

:biggrin1::biggrin1: tangu lini bosi anahudhuria sherehe...kama huamini huyo mtoto wa matonya mpigeni chini hapo muone ka mzee hajatokea
 
itategemea na mazingira na hali. Sisi tumwombee kwa Mungu majeruhi apone haraka ili aendelee kuitunza jamii yake. Magamba inawezekana walikuwa na mpango wa kutoa kafara kabla ya kuapisha baraza, Mwenyenzi Mungu akaepusha.

ohooo kumbe kuna na hayo:mmph:
 
ila wajiulize juzi kafa dereve jana wamemuaga jana hiyohiyo apate ajali mwingine bado tu wanauamin huo mwendo kasi? sijui familia zao nani anawapa matunzo tena baada ya baba kupoteza maisha kwa kazi ambayo inarisk kiasi hicho.

Wewe wacha kukurupuka hebu tulia ujitambue ili ujipange vizuri; aliyefariki juzi ni dereva wa Ikulu tena kwa gari binafsi na hii aisemayo mtoa thread ni rider ndiye alopatwa na mushkeri wa kuanguka na pikipiki.
 
Back
Top Bottom