Pinokyo Jujuman
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 552
- 105
hata kama alikuwa anaenda msibani ni muhimu kujua kuna majukumu muhimu zaidi kila wakati anawaza starehe nchi ataendelea kwa kuhani? awe na upeo wakufikiria mengine zaidi
Asingeenda mngemchambua tena mbona alienda kwa fulani lkn kwa huyu mfanyakazi ya Ofisi yake hajaenda; maana hata kuna mtu kaanzisha thread hapa anahoji kwa Kanumba alitoa M 10 je kwa huyu driver wa Ikulu ametoa ngapi?
Hebu tuacheni majungu jamen; huyu naye ni binadamu kama sisi kwan alispend muda gan?