Msukuma Original
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 928
- 3,330
Bila onyo? Walitokea tu na kuanza kurusha mabomu?
Naona raia sa hivi hata hayo mabomu ya machozi hawaogopi tena.Yanapigwa wao wako zao tu kama hamna kinachoendelea.Bila onyo? Walitokea tu na kuanza kurusha mabomu?
Roho imeniuma sana. Salumu Mwalimu anapigwa mabomu na kufokewa kama mkimbizi asiye na haki. Wananchi wanataka kumsikiliza lakini polisi wanamharass na kumlazimisha aondoke. Hapana hii sio sawa kabisa. Sisi wote ni watanzania na Tanzania ni yetu sote.Msukuma mwenzako ndiyo ametufikisha mahali hapa
Huu ni uonevu wa wazi mkuu. Hapana, hii nchi ni yetu sote.Hayo maonyo mbona hawatoi kwa yule anayesimama simama na kugawa mapesa ovyo...??
Utakua hujawahi kua eneo linalopigwa bomu la machozi. Siamini kama yanavumilika.Naona raia sa hivi hata hayo mabomu ya machozi hawaogopi tena.Yanapigwa wao wako zao tu kama hamna kinachoendelea.
Ni dalili mbaya sana, hawa polisi hawajifunzi. Sasa hivi raia wanaonekana kuyazoea, siku ya 'kuchakachua' kura sijui watapiga nini kuwatishia, zama zinaelekea mwisho bila shaka.Naona raia sa hivi hata hayo mabomu ya machozi hawaogopi tena.Yanapigwa wao wako zao tu kama hamna kinachoendelea.
Kwa hio hapo kwny video umewaona raia wakiwa wanakimbia sio?Utakua hujawahi kua eneo linalopigwa bomu la machozi. Siamini kama yanavumilika.
Hio sio dalili poa kabisa mkuu,police&usalama wajitafakari vzr.Ni dalili mbaya sana, hawa polisi hawajifunzi. Sasa hivi raia wanaonekana kuyazoea, siku ya 'kuchakachua' kura sijui watapiga nini kuwatishia, zama zinaelekea mwisho bila shaka.
Nikiwa Arusha ilikuwa vitu vya kawaida sana, dawa yake chupa ndogo tu ya maji unakuwa nayo kwishaa.Utakua hujawahi kua eneo linalopigwa bomu la machozi. Siamini kama yanavumilika.
Watanzania tunatakiwa tuukatae huu uonevu kwa nguvu zote. Hii nchi sio mali ya ccm.Hio sio dalili poa kabisa mkuu,police&usalama wajitafakari vzr.
Aibu tupuRoho imeniuma sana. Salumu mwalimu anapigwa mabomu na kufokewa kama mkimbizi asiye na haki. Wananchi wanataka kumsikiliza lakini polisi wanamharass na kumlazimisha aondoke. Hapana hii sio sawa kabisa. Sisi wote ni watanzania na Tanzania ni yetu sote.
Hatari sanaWatanzania tunatakiwa tuukatae huu uonevu kwa nguvu zote. Hii nchi sio mali ya ccm.
Gusa unase.Nimeona video ya mgombea mwenza wa CHADEMA akipigwa mabomu kisa kusimama na kuwasalimia wananchi. Roho imeniuma sana. Nilikuwa nikiona watu wanajivisha mabomu na kwenda kulipua sehemu nilikuwa nashindwa kuelewa kwa nini mtu anafikia hatua hiyo, ila sasa nimeelewa kwa nini watu hujitoa muhanga. Rais Magufuli anapita kila sehemu na kusalimia watu lakini hakuna wa kumgusa. Polisi mnahatarisha amani ya nchi.
Aisee labda hivyo.Nikiwa Arusha ilikuwa vitu vya kawaida sana, dawa yake chupa ndogo tu ya maji unakuwa nayo kwishaa.
Ukihudhuria mkutano wa Chadema unabeba maji ya dharura, ukiwaangalia wakazi wa Arusha kwenye mkutano utaona wanayo.