Msaada

Msaada

buno25

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2011
Posts
239
Reaction score
238
Watu sijui wanahic mi ni spy.nisha wapm watu zaidi ya wa 3 kwa ajili ya kupata huduma ya guru internet lakini hakuna hata mmoja aliye hata kujibu.naomba mwenye kuweza kunisaidia pleas anipm au anambie ni mp pia akinipa no.za cm tukaongea itakuwa msaada zaidi wana jamvi
 
unakosea unapokuja kulalamika mambo ya guru humu. hii website sio ya guru ni vizuri uende website yao utapata msaada kuliko kuja huku.

nenda website hio hapo chini tafuta reseller wa tanzania mpigie.

Tunnelguru Reseller List
 
Sa c ndo msaada kama huu nilikuwa naitaji?najua hii kitu ilivo ndo maana nilikuwa natumia pm ila mtu hata kujibu hajibu
 
Bado sijapata kiongozi kama unaweza nisaidia nisaidie
 
Back
Top Bottom