farfat
JF-Expert Member
- Jun 10, 2021
- 377
- 687
Kwanza kabisa, sitaki kuanza na wema, sababu huu wema tulionao ndio umepelekea mambo yanayoendelea sasa nchini.
Nimejaribu kuwaza kwa kina na kutazama vipaumbele tulivyo navyo kama nchi, nimeishia kulia na kujawa hasira. Hivi aliye toa wazo la kuandaa mashindano ya AFCON hapa Tanzania alikuwa nani, na aliwaza nini hasa?
Isitoshe, sio kama sisi pekee tutakuwa wenyeji. La hasha, hapa kuna wenyeji watatu. Sasa tuangalie faida sisi kama taifa tutapata vipi maana ya kuwa wenyeji ikiwa wageni watalazimika kwenda nchi zote tatu zilizo-host mashindano haya? Kulikuwa na haja gani hasa ya kuandaa?
Tunapita vipi nguvu ya kuandaa mambo ya starehe wakati hata huduma bora za maji zimetushinda? Yaani hatuna uhakika na huduma za maji, hatuna miundombinu bora ya barabara, sekta ya elimu haina msaada kwa taifa zaidi ya kusoma na kuandika. Taaluma imekuwa mzigo kwetu.
Imagine mpaka leo nchi yenye watu milioni 70 inaleta wakandarasi wa barabara kutoka nje. Huduma za usafiri jijini ni tatizo. Au ndio mnataka timu zikiwa zinaenda viwanjani mfunge barabara ili watu wenu wasifanye kazi kupisha misafara ya AFCON?
Anyway, viongozi, matako yenu.