Msaada..

Msaada..

Mwandwanga

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2011
Posts
3,057
Reaction score
1,573
Habari wanajamvi,

Nimepokea pesa toka kwa mdau mwenzangu aliyepo ughaibuni (CANADA).
Tatizo ni jinsi ya kuitoa hiyo pesa maana haijapitia Mpesa, wala Western Union, na sms iliyoingia kunijurisha ipo hivi "Congratulation! You've received 945000 TZS from **************. Thank you for using WorldRemit.

Msaada wanajamvi ninawezaje toa au kutumia hii pesa.
 
Hapo inakuwa ngumu kukupa msaada hususan mie ambaye ndo naona hiyo makitu mda huu.
Wadau wanakuja
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom