Msaada: Nimepokea Pesa kutoka Worldremit kuja Mpesa lakini sijapata ujumbe wa Mpesa

Todito

Senior Member
Feb 6, 2013
154
357
Kwema?

Nimepokea pesa kidogo kutoka kwa rafiki yangu nje ya nchi na kwa sababu PayPal haipokei pesa Tanzania nikamuomba anitumie kupitia Worldremit.

Tayari kanitumia tangu saa sita mchana na sasa ni saa kumi na nusu na nimepata Sms hiyo (Screenshot)ila salio kwenye MPESA hakuna kilichoongezeka nimewapigia voda sielewi majibu yao na jamaa kule kasema ameshatuma.

Wenye uzoefu naomba msaada Tafadhali.

20211207_162914.jpg
 
Kwema?

Nimepokea pesa kidogo kutoka kwa rafiki yangu nje ya nchi na kwa sababu PayPal haipokei pesa Tanzania nikamuomba anitumie kupitia Worldremit.

Tayari kanitumia tangu saa sita mchana na sasa ni saa kumi na nusu na nimepata Sms hiyo (Screenshot)ila salio kwenye MPESA hakuna kilichoongezeka nimewapigia voda sielewi majibu yao na jamaa kule kasema ameshatuma.

Wenye uzoefu naomba msaada Tafadhali View attachment 2036119
Angalia salio. Sometimes it takes few hours muamala kuwa tayari kwa matumizi kwa mpokeaji

Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app
 
Kwema?

Nimepokea pesa kidogo kutoka kwa rafiki yangu nje ya nchi na kwa sababu PayPal haipokei pesa Tanzania nikamuomba anitumie kupitia Worldremit...
Kuna mtu alinitumia hela iliingia fasta na niliitoa muda ule ule bila shida.

Ila kabla hajatuma aliniomba no nikampa voda akasema voda inachelewa hela kufika, akaniambia nimpe mtandao mwingine tofauti na voda nikampa tigo muda ule ule hela iliingia na nikaitoa.

Kwa voda vumilia hata siku mbili itaingia.
 
Asante!

Labda nivute subira
Inawezekana Voda kwenye
Worldremit inachelewa kidogo
 
subiri ndani ya siku 7-14.

unapotuma lazima zipite benk na benk lazima Bot watambua na kuipa ruhusa Mpesa kutoka
Mmmh!! Hii imeanza lini? Mbona nimepokea pesa jana on the spot wala haikuchukua muda hivyo?
 
Kuna mtu alinitumia hela iliingia fasta na niliitoa muda ule ule bila shida.

Ila kabla hajatuma aliniomba no nikampa voda akasema voda inachelewa hela kufika, akaniambia nimpe mtandao mwingine tofauti na voda nikampa tigo muda ule ule hela iliingia na nikaitoa.

Kwa voda vumilia hata siku mbili itaingia.
Voda mbona haina shida, au ni kwangu tu
 
Mbona mimi nlikuwa najitumia na ilikuwa ni instant ikichelewa sana dakika 5.
Nilikuwa najitumia from my payoneer mastercard via worldremit to airtel au mpesa
Ujumbe unaoingia ni kama huo wangu??
 
Back
Top Bottom