msaada

B'REAL

JF-Expert Member
Oct 20, 2010
4,415
2,969
habari wanaharakati.wakuu kwa wale walioko mwanza au wanao ijua mwanza wapi nitapata dojo nzuri la karate?
 
Tafuta tuition ujiandae wakat ukisubir matokeo. Hizo karate hazihusian na uzito wa kalamu. Take it
 
Safi mkuu,self defence ndo mpango nzima,sio mtu dume zima unakabwa na vibaka wala unga unanyang'anywa kila kitu,eti kisa jamaa wana kisu na panga...
 
Tafuta tuition ujiandae wakat ukisubir matokeo. Hizo karate hazihusian na uzito wa kalamu. Take it
MKUU MI SIO MWANAFUNZI NATAKA KUTUMIA MDA WANGU BAADA YA KAZI KUFANYA HAYO MAZOEZI KULIKO KUKAA BAR KUNYWA BIA AU VIJIWENI KUONGEA UMBEA.
 
Back
Top Bottom