Msaada wenye viona mbali: binti aliyesoma PCM, div 3

T14 Armata

JF-Expert Member
Mar 7, 2017
4,051
2,000
hapa mnatofautiana kidogo tu mimi nilivyoelewa D isiyoya subsidiary ni kwamba hpo mwanafunzi anasoma kwa mfano PCB anasoma masomo matato hapo unaongeza masomo mawili ambayo nai subsidiary BAM NA GS hayo mawili ndiyo mkuu anazumngumzia usiwe na D ya subsidiary ina maana D zako zilenge kule kwenye PCB basi
Ndicho ninachomwambia huyu FURY sasa sijui haelewi nini. Ninamdokeza mleta mada kabisa kwa sababu najua wanaopata marks za kusuasua wengi huwa wanataja nina D mbili ili angalau mzazi asione amefeli sana. Kumbe unakuta hiyo D anaisema ya GS, matokeo mzazi anahangaika kusipostahili bila kujua D ya GS haimpi admission chuo
 

Ndama Jeuri

JF-Expert Member
Jul 9, 2015
1,318
2,000
Hakuna D ya subsidiary, period. D inabaki kuwa D na Subsidiary inabaki kuwa Subsidiary. Tofauti na hapo nithibitishie hii D subsidiary imeanza kutolewa mwaka upi wa matokeo
F-Fail with 0 point, S-Subsidiary With 0.5 points, E-Principle pass with 1.0 points, D-Principle pass with 2.0 points, C-Principle pass with 3.0 points,B-Principle pass with 4.0 points,A-Principle pass with 5.0 points.
 

snn

Senior Member
Apr 23, 2015
107
225
Nipo chuo cha CBE Mwanza Campus nipigie kwa 0756936931 nikupatie ushauri
Screenshot_20210718-085043.jpg
 

Masiya

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
7,041
2,000
Tuko zama za kuchagua kozi kwa busara na si kusoma tu. huu ni uwanja wa wazoef katika uwekezaji kielim. binti yangu alipata div 3 pcm. nimwelekeze mlengo gani kifani?
Kupata ushauri mzuri ni afadhali uweke matokeo yake kamili. Pili pitia admission guide ya tcu. Tatu ikibidi aangalie pia admission guide ya NACTE ili kamauwezekano wa kupata degree course aipendayo basi afikirie a two year diploma course. All the best.
 

OL5

JF-Expert Member
Jun 10, 2017
368
500
Namba 535, pia anahitaji msaada, Alipenda kusoma Uandisi, nimepitia leo naona hana vigezo, naomba kujua njia mbadala ili nimpelekee majibu yasiyo na mashaka.

Sababu ananisumbua nimuombee mtoto wake mkopo, ilihali vigezo vya kwenda chuo cha level ya Shahada, hesabu hazipo sawa.
20210719_120006.jpg
 

Kirik

New Member
Jul 19, 2021
1
20
Na Mimi naomba ushauri Nina mdogo Wang PCB ana division 3.13 anaweza soma course zipi
 

Rwazi1

JF-Expert Member
May 3, 2013
970
1,000
Kupata ushauri mzuri ni afadhali uweke matokeo yake kamili. Pili pitia admission guide ya tcu. Tatu ikibidi aangalie pia admission guide ya NACTE ili kamauwezekano wa kupata degree course aipendayo basi afikirie a two year diploma course. All the best.
GS- D, PHYSICS- E, CHEMISTRY- E, ADV MATH- D, point- 13, DIV III.
 

Masiya

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
7,041
2,000
GS- D, PHYSICS- E, CHEMISTRY- E, ADV MATH- D, point- 13, DIV III.
Kwenye masomo 2 ana D na E ambayo kwa point za TCU ana jumla ya point 3 na siyo 4 zinazotakiwa. Hivyo nashauri aangalie course za diploma chini ya NACTE. Ukiingia nacte.go.tz utapata admission guide yao. All the best mkuu.
 

Masiya

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
7,041
2,000
Vyuo karibia vyote ni vipi. Hizo guidelines zipo ila kutokana na ushindani leo hii kwa matokeo haya ukiomba nafasi UDSM au DIT miaka kumi mfurulizo na guidelines hizihizi huchaguliwi. Kuna competition kubwa.

Anaweza kuwa na III ya 13 ila akawa hana principal pass ya masomo mawili. Principal pass inaanza na D sasa kama mfano (a) amepata CEE sawa na points 13 au (b) amepata DDE sawa na points 13, hapo anayechukuliwa haraka ni huyo (b)

Hapo hachaguliwi engineering yoyote UDSM au DIT, maybe NIT anaweza chaguliwa Automobile Engineering. MUST na ATC pa kufanyia application. Kwa vile kasoma sayansi kozi nyingi za Arts ukiondoa Law anasoma
Mkuu pfincipal pass inaanzia E.
 

Masiya

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
7,041
2,000
Hakuna D ya subsidiary, period. D inabaki kuwa D na Subsidiary inabaki kuwa Subsidiary. Tofauti na hapo nithibitishie hii D subsidiary imeanza kutolewa mwaka upi wa matokeo
Mkuu angalia matokeo ya subsidiary courses general studies na BAM utaona kuna wenye a hadi e achilia mbali f.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom