Msaada wenu tafadhali

Mtu akikupiga kofi shavu la kulia mgeuzie na lakushoto,,kesho beba tena pochi halafu pita palepale halafu wanavokuibia wakariri sura
 
Mimi ni Mganga Konki. Utayaweza masharti yangu? Baadhi ya dawa utatakiwa kuwekewa mwilini na mimi mwenyewe kupitia njia ya kuunganisha viungo vya mwili.
 
Tangazo limekaa kimkakati sana, kwa wasioelewa hili tangazo, hapa anatafutwa Mume na danga kwa wakati mmoja... wenye sifa tajwa nendeni pm
 
Marry Dikompoza kwa mara nyinngine tena [emoji81][emoji81]

Wewe sio maskini hiyo 780000 ya kununua vitunguu na mboga wenzako mitaji hiyo..!!

Nomadiq unaitwa piemuni ukatoe namba za mganga usijifanye hujaona uzi [emoji81][emoji81]
[emoji23][emoji23][emoji23] DA marry kajipata, 780k ya madiko diko ya home.

Je Kipako kitakua cha wapi anatumia? Mletee OG za Norway, awe km range ya Haaland.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
kama unaikumbuka email nitumie nicheze na ip address tu, hata kama alieiba akiflash kitendo cha kuweka laini yake tu itanipa location ya simu ilipo....
 
[emoji23][emoji23][emoji23] DA marry kajipata, 780k ya madiko diko ya home.

Je Kipako kitakua cha wapi anatumia? Mletee OG za Norway, awe km range ya Haaland.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Marry sio level zetu uduguu 😹😹

Huyu anatakiwa apatiwe package ya 3.5 million ya Samira
 
Kila siku una majanga unahitaji msaada na ushauri sio ? Huku hakunaga content sijui nn.... nensa X huko, Elon akuone akulipe
 
Mganga wa nini, wewe cha kufanya rudi mtaa ule ule vaa ktk namna tofauti kwasababu wao wanakujua wakikuona.
Chukua boda mmoja ambae anaonekana ni muhuni muhuni akupeleke sehemu isiyo na watu mtie chupa ya matako dakika sifuri tu anakutajia watu waliokuibia na sehemu wanayopatikana.
HURUMA SIO MALEZI ukiweza UA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…