Msaada: Wapi wanahudumia paka mwenye matatizo ya kiafya

Acha Maneno

Member
Joined
Oct 6, 2018
Posts
54
Reaction score
112
Habari,

Kuna paka wa jirani hapa wamempiga jiwe kiasi kwamba mguu wake mmoja hawezi kutembea tena na anamaumivu sana.

Naomba msaada nifahamu ni sehemu gani inawezekana kumpeleka akapata matibabu.

NB: Wenye paka wamemuacha kama alivyo na hawajachukua hatua yoyote ya kitabibu 😢

NAUMIA SANA KUONA AKITESEKA HUYU KIUMBE ASIEKUWA NA HATIA WALA UFAHAMU.

Msaada tafadhali.
 
Ndiyo wengi wa madaktari wa mifugo ndio wamiliki wa hayo maduka ila kama utaweza kwenda kupanga foleni hospitali na paka wako basi fanya hivyo
Sio Paka wang, ni huruma tu ndio imenifanya nilivalie njuga hili suala.

Mimi mwenyewe binafsi sina pesa, na ninaishi maisha ya chini.
 
Mkali usiwe unapiga paka za watu; wengine ni majini na watu. 😊
Mtafute afisa mifugo wa kata au nenda duka la mifugo. Utahudumiwa.
Mmmh! Soma kwanza Uzi kabla hujachangia.

Huyu paka sio wang na wala sijampiga.
 
umejuaje kama hana hatia gentleman?
Je,
kama kala dagaa za watu tena za buku kabisa wamuache tu?, au kama kalamba maziwa na unajua bei yake ilivyochangamka kwa sasa?, au vip kama kadokoa mboga ya watu, halafu wakati umemfumania hapo jikoni, akaimwaga kabisa hata kidogo aliyoibakiza?🐒
 
Tafuta doc aliekaribu amfanyie diagnosis kama ni fracture au dislocation then atamfanyia treatment
 
Hahahaaaaaa !
 
Mpeleke duka la kilimo na mifugo huwa kuna madoctor pale
 
mkuu nakuhakikishia ukimpeleka huyo paka akapata matibabu utapata mvua ya baraka
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…