illegal migrant
JF-Expert Member
- Oct 18, 2013
- 1,277
- 1,121
jamani msaada jamani naomba kuuliza, mimi ni mwanandoa mgeni nina tatizo ambalo naomba ushauri.
Kipindi sijaoa nilikuwa nikishiba naenda kulala mwenyewe chumbani tumbo linapohitaji kutoa hewa chafu nilikuwa najiachia kwa ujasiri wote.
Sasa tangu nimeoa hili zoezi naona linakuwa gumu kidogo kwani namuonea aibu huyu mwenza wangu nikifikiria ile harufu itakayotoka sasa inabidi wakati mwingine nijibane ambayo kiafya wanadai siyo vizuri au wakati mwingine inabidi nitoke nje manake nimepanga chumba kimoja sasa.
Kiukweli najionea tabu tu, sasa nyie wakongwe wa haya mambo naomba ushauri nijue huwa mnafanyaje.
Asante