Msaada wanandoa

Msaada wanandoa

Duu !! kwani yeye hua hajambi mbele yako, yeye akitaka kufanya hivo anatoka nje au inakuwaje? na je nguo zako za ndani una ujasiri wa kumwambia afue? inaonekana hamkuzoeana wakati wa uchumba, lakini usijali kadri mnavyoishi mtazoeana na aibu itakuisha.
 
Dawa ndogo tu,kwa ushauri supper glue chapa tembo ndo mambo yote,hutasikia tena mngurumo wa LEYLAND DAF KUPANDA MLIMA WA KITONGA.
 
Watu wanachukulia kujamba kama big deal,mbona huoni aibu kupiga miayo?Same as kujamba,we jambaaaaaaaa
 
Hii mada ilistahili iwepo kwene Jukwaa la siasa, au sio wadau?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom