monta
JF-Expert Member
- May 6, 2014
- 1,297
- 1,874
Habari wana MMU
Mimi nimesoma shule ya boys tupu,sasa kuna rafiki yangu mmoja hivi anakabiliwa na tatizo la kujichua/musterbation ambapo alianza tangu yuko kidato cha kwanza ,sasa punyeto imemuathiri kiasi anapiga hadi mara 5 kwa siku:nimejaribu kumsaidia kuacha ameshindwa,sasa je kuna madhara yoyote atakayoyapata au aendelee tu;na kama kuacha atumie njia gani maana zote zimeshindikanika.
msaada wana MMU