IslamTZ
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 309
- 182
Hivi jamani nisaidieni, mimi ni mwanachama makini wa chadema lakini nimekuwa nabanwa kwa hoja na wapinzani wetu Cuf na CCM eti wabunge wetu wa kuteuliwa ni ndugu, girl friends, jamaa wa viongozi wetu wakuu na wanatoka kanda moja ya kaskazini! Kuna ukweli gani kuhusu hilo?