Msaada wana CHADEMA wenzangu

IslamTZ

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
309
182
Hivi jamani nisaidieni, mimi ni mwanachama makini wa chadema lakini nimekuwa nabanwa kwa hoja na wapinzani wetu Cuf na CCM eti wabunge wetu wa kuteuliwa ni ndugu, girl friends, jamaa wa viongozi wetu wakuu na wanatoka kanda moja ya kaskazini! Kuna ukweli gani kuhusu hilo?
 
ccm waambie heri ufanye na girl friend and boyfriend wenye ubongo kama viti maalum kuliko kuwa na watu wa mbali vilaza kama ilivyo ccm isiyokuwa na mwelekeo sasa hoja zao kuongelea mambo ya watu badala ya kutekeleza ahadi kwa wananchi. Cuf waulize hivi ni chama tawala au chama cha upinzani? Waulize wabunge wao waliowatafutia passport wapenzi wao hatimaye kufukuzwa bungeni ndio uzalendo? Miaka 15 kama wapinzani bungeni bila hoja.<br />
Ufupi chadema inatafuta viti maalum ambavyo ni maalum kujenga hoja za kitaifa sio ilivyo kwa wenzetu kutuletea mazezeta bungeni akina rwakatare sijui maombi ya ufisadi tetetetetee yaani unakosa hoja au hujaiva basi inabidi uhame ukikosa hoja maana chadema ina vichwa tu
 
Weka ndugu au girl friend wa viti maalum asiye na sifa ndani ya chadema tuone ukweli. Mbona ccm ina benchi la ufundi,akina prof.maji marefu ndo wabunge 'makini'?! Ccm viti maalum siongelei mana ni aibu tupu,kama si ulaji wa wakuu basi washirikina au matajiri wa ujambazi na wauza unga. Wengine ni wahujumu uchumi kama wale walikamatwa na pembe za ndovu kwenye meli wanazomiliki? Wale misheni town wanaotajwa na ze komedy unawajua,akina A.mteketeeee,wale wa mtwara,n.k unawajua? Achana nao sie tunaijenga chadema ya kweli. Mleta mada umeshalipa mada ya mwaka kule CDM?Mwaka unaisha mkuu kama bado fanya hima,endelea kukaribisha watu ndani ya CDM 2015 tuwapokonye kijiti mafisadi.
 
heri GF mwenye kujenga hoja kuliko John Lwanji Mbunge wa kuchakachua Jimbo la Manyoni Magharibi muongea pumba
 
mwenzenu me cna hamu hata ya kuongea mana kile chama cha majambazi ctaki hata kukickia, huyo vki kamatakamata analiwa na huyohuyo muheshimiwa
 
JANA MBUNGE Wa chama cha majambazi A SUMRY WA MPANDA KAKAMATWA NA CARTRACK GARI LA SERIKALI STK KALIFUNGIA KWAKE!soma nipashe jana ccm wezi tuu mnajenga barabara 1km kwa 1.6bn shame on U!
 
JANA MBUNGE Wa chama cha majambazi A SUMRY WA SUMBAWANGA KAKAMATWA NA CARTRACK GARI LA SERIKALI STK KALIFUNGIA KWAKE!soma nipashe jana ccm wezi tuu mnajenga barabara 1km kwa 1.6bn shame on U!
 
JANA MBUNGE Wa chama cha majambazi A SUMRY WA SUMBAWANGA KAKAMATWA NA CARTRACK GARI LA SERIKALI STK KALIFUNGIA KWAKE!soma nipashe jana ccm wezi tuu mnajenga barabara 1km kwa 1.6bn shame on U!

Naomba more info kuhusu hii mi sikuipata
 
We unafikiri Malechela alikua hataki kuachia ngazi kwa nn? anajua akiachia ngazi jamaa watachakachua mzigo ( A. Kilango)
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom