Msaada wakuu nimekwama, wiki sasa balo la mtumba halitoki

Msaada wakuu nimekwama, wiki sasa balo la mtumba halitoki

Unakosea tafuta kijana unafungua balo unanadisha linaisha.kwa siku unaweza kufunhu ahta matatu.nguo wateja wenyewe wanajihukumu ikitoka kali wamapandiana dau
Ndugu habari.. !!
Natafuta mtu anayefanya biashara ya uuzaji wa nguo za kiume mtumba mikoani...
Nina bidhaa za nguo za đź‘– jeans suruali, t-shirt ,na pia trak juu na chini.. (GRADE A) bei nafuu tu nipo maeneo ya Tabata segerea
Mawasiliano 0744644627
0622531099
Hata pia kwa ulieko Dar Es salaam ni vizuri zaidi, jipatie bidhaa kwa bei poa ya jumla..
Nataka nibadilishe biashara, so mzigo upo store bei poa kabisa usiwe na shaka
 
Nipo wakuu ,Nashukuru kwa support yenu sanasana mbarikiwe .
Nimepata msaada nimepata business partner pia .kijiwe kinaanza kuchangamka sasa .
Naomba niwatangazie biashara.

Kwa wenye watoto nina mzigo wa kuanzia miaka 0- 12
Pensi
Gauni
Skirts
Blouse & tshirts
Bei sawa na bure kuanzia 1000 - 5000 tu unapata nguo nzuri sana .Nafanya delivery kokote .

Karibuni pia kijiweni manzese
 
Sample ya nguoView attachment 2146694View attachment 2146695View attachment 2146696View attachment 2146697
IMG_20220311_125625_473.jpg
 
Balo la mtumba wa skin jeans inabidi utafte location nzuri kama maeneo karibia na vyuo ka ustawi, udsm and Ardhi hapo utauza sana wadada wengi wa skin jeans ni Wana chuo, pia unaweza kutangaza biashara yako kupitia Instagram ads, so change location yako
Asante kwa ushauri mzuri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom