MSAADA WAKUMTAFUTA MDOGO WANGU INNOCENT CYPRIAN KUNDY

MSAADA WAKUMTAFUTA MDOGO WANGU INNOCENT CYPRIAN KUNDY

Joined
Feb 26, 2013
Posts
13
Reaction score
4
INNOCENT CYPRIAN KUNDY.
Mwanafunzi wa shule ya msingi Mirambo ,Darasa la saba.
PICHA YA MTAJWA HAPO JUU NI MDOGO WANGU NA AMETOROKA NYUMBANI TANGU JUMAPILI JIONI.(21-07-2019)
NAOMBA MSAADA KWA YOYOTE ATAKAYEMUONA POPOTE PALE NAOMBA ANISAIDIE KUFIKISHA TAARIFA KWA NAMBA +255789777557 au +255657565722
RB no.KW/RB/4727/2019.
 
Attachments

  • +255 789 777 557 20190802_034331.jpg
    +255 789 777 557 20190802_034331.jpg
    64.6 KB · Views: 27
INNOCENT CYPRIAN KUNDY.
Mwanafunzi wa shule ya msingi Mirambo ,Darasa la saba.
PICHA YA MTAJWA HAPO JUU NI MDOGO WANGU NA AMETOROKA NYUMBANI TANGU JUMAPILI JIONI.(21-07-2019)
NAOMBA MSAADA KWA YOYOTE ATAKAYEMUONA POPOTE PALE NAOMBA ANISAIDIE KUFIKISHA TAARIFA KWA NAMBA +255789777557 au +255657565722
RB no.KW/RB/4727/2019.

nivyema ukataja mkoa pia, mirambo ya wapi tabora
 
Amefanana sana na mtoto wa binamu yangu naye mwezi uliopita alitoroka kwao akakutwa Mbeya mjini.... I hope na huyu atapatikana. Ila nikushauri mkimpata jaribu kuongea nae maana wabongo hamkawii kumpa kipigo cha mwana ukome. Ongeeni nae mjue sababu za kufanya hvo kisha mzitatue. Kama kuna nmambo yanamkera hapo myabadili kama yako ndani ya uwezo wenu. Kama ni makundi na ushauri wa kijinga wa wenzie basi ashauriwe aache makundi mabovu... Kamma katoweka kwa njia zisizoeleweka(kutekwa na majambazi,wahuni au ushirikina) basi Tumuombe Mungu amlimde huko aliko.
 
Sijui nimemuona wapi huyu jamaa
 
Back
Top Bottom