Wanajf naombeni mwenye picha ya ua lolote linaloonyesha love naomba aliupload hapa nalihitaji nataka nilisave as a contact image ya mpenzi wangu! Kama lina play kidogo ntapenda zaidi!
Naombeni mpitepite kwenye storage devices zenu mnisaidie!
Ngoja nijipendekeze kwako.
View attachment 86534
kwa ajili yangu kweli au aliyeanzisha uzi kukusanya maua?kama la kwangu umejipendekeza kutoka moyoni au kiunoni?ule ujumbe uliokuwa unamwambia Mamndenyindo mie au?
Nimesha Edit mama.
Hebu nielekeze nikitaka kuidownload nafanyaje??
Mbona kama mtu amening'inizwa jamani? sasa huo ni ukaribisho wa wema au hatari??