Msaada wako kwa huyu mdada tafadhali

anaweza akakeep mimba halaf akamwambia mume wake "honey miujiza ya yesu imejirudia"
 
Ivi ishu kama hii ililetwa hapa na member mmoja, kwa ushauri anaweza ipitia hiyo. Ila kwa mimi hapa hakuna mjadala ni ku du ze nidi fuli tu! Naona watu wameanza kuclassify zambi hapa! Hii kubwa hii ndogo!
 
sema chochote unachofikiri

Daa nashindwa kusema chochote Wit, kutokana na nafsi yangu ilivyolichukulia hili jambo. Kwanza kabisa nimeumia jinsi ambavyo huyu dada ameshindwa kuwa mwaminifu kwenye ndoa yake,to me is very very bad kwa mwanamke kuwa hivo, Pili ni huo uovu unaotaka kutokea hapo wa kumwaga damu isiyo na hatia, tatu ni huyo mwanaume aliyekwenda mbali yawezekana kutafuta kwa ajili ya maisha yao, hasa kama atakuwa mwaminifu inauma sana.

Na huyo mwanaume aliyeacha mke wake akatembea na mke wa mwanaume mwenzie, kama huyo mke naye ni mwaminifu ataumia sana.

Jamii inayowazunguka, ndugu jamaa na marafiki wataumizwa na hili pia. Daaaaa we have to think before we overtake. Kama mwanadamu sina cha kusema mpaka sasa Lakini labda Rehema na huruma ya Mungu inaweza ikasaidia hapa, kwa sababu hakuna lisilowezekana kwake.
 
Mshiki habari yapho? Mbona unazunguka sana? Ishu ishatokea hapa panaitaji suluu!
 
Ivi ishu kama hii ililetwa hapa na member mmoja, kwa ushauri anaweza ipitia hiyo. Ila kwa mimi hapa hakuna mjadala ni ku du ze nidi fuli tu! Naona watu wameanza kuclassify zambi hapa! Hii kubwa hii ndogo!

Kaka Kimey what is the need full here?
Ok, what if akaitoa hiyo mimba halafu na yeye akapotea huko huko, What if akaitoa mimba na akaendelea kuachwa na huyo mumewe, What if akaitoa hiyo mimba akaharibika kabisa asiweze kuzaa tena. What if, what if?????

Daaaa UTU!!!!
 
Mshiki habari yapho? Mbona unazunguka sana? Ishu ishatokea hapa panaitaji suluu!

Sijambo kaka, suluhu lolote hapa kama sio kuikubali mimba na kukubaliana na chochote atakachokisema mume wake!! Lazima swala la UTU likae pembeni. Tunamsaidia shetani kazi kwa muda, halafu tutatubu sijui??? Binafsi inanitesa hii situation kaka.
 
Ushauri ni kwamba afanye kunanii.......... ila hapana au............ nayo sio labda aka........nahisi ingekuwa vema aki..... ah jaman nashindwa kutoa jibu kwa leo labda nikurupushwe nitamke lolote.
 
:clap2:Mwambie huyo dada kuwa hayo ndo matunda ya umalaya wake! Hivyo abaki na hiyo mimba na azae tu, kwani kutoa kunaweza kukapelekea kupoteza maisha yake na mtoto pia. Ila lazima ajue pia kuwa mume amemkosa na hata huyo jamaa alikuwa anado naye atamkosa pia, kwahiyo ajiandae kulea huyo mtoto peke yake!

Onyoooooooo kwa wadada wote, achane umalaya, kuweni waaminifu kwa waume zenu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!:clap2:
 
Sijambo kaka, suluhu lolote hapa kama sio kuikubali mimba na kukubaliana na chochote atakachokisema mume wake!! Lazima swala la UTU likae pembeni. Tunamsaidia shetani kazi kwa muda, halafu tutatubu sijui??? Binafsi inanitesa hii situation kaka.
usiteseke na situation ambayo ipo beyond repair.
 
Seriously what was she expecting alivyokuwa anakulana na huyo jamaa wake wa nje pekupeku bila vizuizi???alikuwa anategemea kupata kitambi tu cha kufanyia mazoezi kiishe au????pumbaf....afanye anachojua yeye na siku nyingine asije kukuomba ushauri anakupotezea muda huyo wako.......**&&&&&*****!!!!!!!!!!!!!!:angry:
 
Kaka Kimey what is the need full here?
Ok, what if akaitoa hiyo mimba halafu na yeye akapotea huko huko, What if akaitoa mimba na akaendelea kuachwa na huyo mumewe, What if akaitoa hiyo mimba akaharibika kabisa asiweze kuzaa tena. What if, what if?????

Daaaa UTU!!!!
Wat if ivyo vyote havijatokea maisha c yanasonga tena kwa raha mustarehe! Huwezi kulazimisha imani kwa mtu asie amini!
 
Siku zote mshahara wa dhambi ni mauti,wakati ana cheat hakujua hilo?au hakujua kuwa ana ndoa?baada ya ujauzito ndo anakumbuka ndoa yake?ushauri wangu usiue kiumbe kisicho na hatia sababu ya uzinzi wako,cha msingi hapo hiyo ndio talaka yako,hivyo kusanya kilicho chako na uondoke ukaanze upya,na kwa taarifa yako ukiona mwanaume anakutaka wakati unamume ujue kakuona mbwa,so na mtoto hatamlea huyo,kama huamini fanya utafiti kwa walio wengi nini kilitokea,
 
Nikikupa pole nitakuwa nakosea. Huu msala umejitakia na hayo ndio mavuno ya kutokuwa mwaminifu katika ndoa. Umefanya dhambi ya kuzini, usifanye dhambi nyingine ya kuuwa kiumbe, kumbuka hicho kiumbe sio chako ni cha M/MUNGU. Isitoshe jamaa huko aliko pengine ameshahabarishwa tabia yako mbaya ya kutokua mwaminifu anasuburi akirudi tu-talaka. Au kuna jamaa anasubiri aje amtonye mumeo (Hakuna siri ya watu wawili).Pia anaweza kuja fahamu siku za mbeleni zaidi mambo yakawa soo vilevile!! Hebu fikiri utoe mimba na bado uje kupata talaka.
USHAURI;
Ingia mitini kabla jamaa hajarudi uukalee hiyo mimba, huyo mtoto atakuja kukusaidia baadaye. Mumeo akirudi kama ana mapenzi saaana basi atakutafuta na kukusamehe na atakuwa radhi kumlea huyo mtoto kama wake na huyo jamaa achana nae shetani mkubwa huyo!!!!!
 
Seriously what was she expecting alivyokuwa anakulana na huyo jamaa wake wa nje pekupeku bila vizuizi???alikuwa anategemea kupata kitambi tu cha kufanyia mazoezi kiishe au????pumbaf....afanye anachojua yeye na siku nyingine asije kukuomba ushauri anakupotezea muda huyo wako.......**&&&&&*****!!!!!!!!!!!!!!:angry:
nazani kwenye hii sredi mpaka sasa wewe ndio greti thinka pekee. kuna kesi hazihitaji ushauri bana ndio maana kuwa lawyer bongo ni kazi kuliko kuwa rais wa tunisia.
 
Nawasalimu tena kwa mara ya pili wakubwa shikamooni wadogo habari zenu.

Wakubwa naombeni msaada wenu wa mawazo,kuna mdada rafiki yangu na jirani yangu pia mumewe yuko nje ya nchi mie sikujua kumbe ana mwanaume anacheat nae,na ktk uhusiano wao mdada amepata mimba anataka aitoe ili kunusuru ndoa yake,alipomshirikisha jamaa anaecheat nae kuwa waitoe hy mimba jamaa kamjia juu sana na kumwambia hakuna kutoa na wala hajawahi kufanya hivyo! Ajabu sasa jamaa nae ana mke na watoto wanne!kwa sasa jamaa amesitisha mawasiliano yote ya simu na email hadi facebook kablock kisa hataki mimba itolewe,huyu mdada kachanganyikiwa alifanya siri lkn juzi kati hapa ilibidi anishirikishe kutaka ushauri,naombeni mawazo yenu juu ya huu utata wa hawa wenye ndoa.

Hii Mbona simple kama mimba bado ndogo atafute njia yoyote ya kukutana na mumewe ili amtafune sana halafu kama wiki hivi hata akirudi akimwambia kuwa ni ujauzito haitakuwa na shida kikubwa akienda clinic arudishe nyuma umri wa mtoto kwa ajili ya kuwianisha na muda aliokutana na huyo bwana wake baada ya hapo hakuna mgogoro na afutilie mbali kabisa na mahusiano ya huyo mume wa mtu.
 
ningekuwa mod ningekutandika ban sekunde hii hii! akili unazo?
 
:twitch:Salamu kwa malaya woteeeeeeeeeeeeeee hasa wale wake za watu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Mimba zaidi zitakuja hapa! Hata HIV hamwogopi jamani? Ndo sema waume zenu hawawakuni ipasavyo au? Tamaa zenu ndo kaburi lenu!!!!!!!!!!!!!!!!!:A S 20:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom